wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
- Thread starter
- #21
Mnatakiwa mlaumu seeikali yenu kwa kutokua makini kukagua kinachoingia nchini, china kama china pia ina wahuni, wazalendo, wakorofi, watukutu, matapeli, wezi. Huwezi hukumu wachina wote kwa kosa la watu wachache.( individuals)Siku walipotengeneza mchele wa plastiki ndio niliwanyoshea mikono.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app