Kwanini chuki kubwa inapelekwa kwa Wachina japokuwa hawakututawala?

Siku walipotengeneza mchele wa plastiki ndio niliwanyoshea mikono.
Mnatakiwa mlaumu seeikali yenu kwa kutokua makini kukagua kinachoingia nchini, china kama china pia ina wahuni, wazalendo, wakorofi, watukutu, matapeli, wezi. Huwezi hukumu wachina wote kwa kosa la watu wachache.( individuals)

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ndio. Lakini mbona tunavunga kusahau kuhusu waliotutawala. Kwa sababu hata mchina anachofanya anamuiga yuleyule aliemtawala. Kumbuka european pia walimtawala mchina
Tunaongelea current issue, yaani umchukie mtu kwa sababu alikutawala? Ulikuwa ni mfumo rasmi wa maisha ya kipindi hicho. Hata marekani walitawaliwa pia. Tunaongelea kwa sasa, hii jamii ya wachina ina manyanyaso sana kwa jamii ya africa. Sasa unataka tuipende kwa lipi?
 
Ndio. Lakini mbona tunavunga kusahau kuhusu waliotutawala. Kwa sababu hata mchina anachofanya anamuiga yuleyule aliemtawala. Kumbuka european pia walimtawala mchina

Tusingetawaliwa tusingekuwa hapa.
 
Kwa hiyo wewe unaweza kuruhusu mtu akufanye kuwa mtumwa kwa sababu ni mfumo rasmi umeukuta, yani unashindwa kutumia common sense, una justify kitu ambacho hata mtoto wa miaka mitano anaweza kukichanganua kua sio sahihi.



Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni swala la mfumo rasmi basi hakuna maana ya kuwapigia wachina kelele. Hata wachina kukunyinya ni mfumo rasmi umeukuta, so tulia wakunyonye, na kama umeamua kuwapigia kelele, basi usisahau kuwapigia kelele na waliokuweka kwenye ukoloni mamboleo mpaka sasa. ( usiniambie tulishapata uhuru, kuna sababu ya kua na jina "ukoloni mamboleo")

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ok hatumchukii mtu kwa sababu ametutawala, ila kwanini unamchukia ambae hajakutawala ( mchina)?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Uchina utajiri wao ni Total GDP. Sio kuwa mtu mmoja mmoja(per capita). Kuna wakati unawezahiai wanawanyonya wabongo kumbe wenyewe ndio wanavyolipana .
 
Mbona unachekesha mkuu, unasema eti wote twajuwa tulifanyiwa nini....nani hao wole? Huoni watu mpaka leo bado wanaona ujiko kujifanya waarab na kama wanajuwa historia basi wasingekuwa wajinga hivyo. Mtu anaona ujiko kuacha jina lake la ukoo akajiita Jackson, Michael, John ili tu afananishwe na mzungu. Wabongo wengi bado wana matatizo ya kiakili, hawajitambui hata kidogo.
 
Jamani sisi wa tanzania ni watu wa hovyo sana amna mlalamikaji yeyote duniani alieendelea sababu kila kitu anajiona anaonewa wakati tuko kwenye transformation period kujifunza hasa mambo yanavyoenda .....ubishi ,ujinga wetu,nakujikuta wajanja ....sintaweza kuwalaumu wachina sababu work ethics zao zipo juu kule kwao hawalali wanapenda kazi sana hata project nyingi huku hawalali sisi za kwetu tushazoea saa tisa na nusu ushachomoka kazini soga na vijiweni kama zote
 
Mtu unaekaa kumtetea mchina we ni punguani.
Hao wapumbavu wamekula panya huko na viumbe vingine vya ajabu wameleta Covid tumeteseka dunia nzima.wao wanauza barakoa na chanjo.
Kuna video na picha za hatari hao jamaa wanauza nyama za maiti,wanasaga wanapack na kuuza.
Ukiona packed tuna chunks ujue unakula nyama ya mnaijeria.
Ukiambiwa pulled chicken maiti ya mchina hiyo. Bahati nzuri kwangu ni maharage,kisamvu,ugali,kunde samaki kuku.
Nyama nada sana.
Vyakula vya makopo sigusi
 
Hili ni kosa la serikali kutodhibiti kikamilifu, sio kosa la wachina, tunarudi kule kule, unahukumu wachina wote kwa kosa la wachina wachache wahuni ambao wahuni hawakosekani taifa lolote lile

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
European wepi waliomtawala Mchina? Ni sehemu tu ndogo ya China yaani Kisiwa cha Hong Kong ndio ilitawaliwa na Britain lkn hadi leo angalia tofaiti ya wachina wa Hong Kong na wale wa Mainland China
Mkuu kuna jambo nimekuandikia pm naomba unifanyie wepesi katika jambo hilo
 
tungepata copy ya mkataba wa bandari ya bagamoyo tungejadili vizuri hii mada ila wachina sio watu wazuri Uganda wanaililia entebe.
 
Hili ni kosa la serikali kutodhibiti kikamilifu, sio kosa la wachina, tunarudi kule kule, unahukumu wachina wote kwa kosa la wachina wachache wahuni ambao wahuni hawakosekani taifa lolote lile

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Badilisha Mindset yako Mkuu, hakuna Mchina anaekuja Afrika kwa faida yako wewe, Usijidanganye kwamba kuna Mchina au Mrusi au Mmarekani anaeipenda Africa na yuko tayari kuipa faida Afrika. Hakuna urafiki wa kweli na hao watu iwe Chinese, Americans, English, Russians na wengine wote, tatizo letu Africans ni Akili hatuna Akili ya kugundua tunatakiwa kufanya nini.
 
Umesema kweli tupu kuhusu tofauti yetu na wao na hapa ndipo chuki inapo zaliwa.
 
Mkuu umemaliza kila kitu na hii ndio sababu kuu ya chuki dhidi yao inapo anzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…