Nyani wa Somanga
JF-Expert Member
- Jan 21, 2026
- 415
- 573
Mwaka gani?Kwani sasa ni kiasi gani? Naanza kujitambua ilikua sh 50...
250, 500 mpaka 1000 packet ukitaka ya mawe wanapima kwa kilo nusu 1000 kilo 2000Kwani sasa ni kiasi gani? Naanza kujitambua ilikua sh 50...
Na huku Lindi si wanalima chumvi au?Watu wa Kigoma hawana tamaa.
Wewe itakua hadi nyama unahesabu 😹😹Kwasasa imepanda bei ,nilikuwa nanunua pakti 3 kwa elfu moja ila kwasasa pakti 3 ni 1,300/=
MImi muda mwingi nipo porini nachoma mkaa so vitu nanunua kwa jumla napeleka porini tunakula na wadau huku tukipiga kazi,nyumbani huwa naenda baada ya miezi miwili ndiyo nitakula chakula kilichopikwa na wife.Wewe itakua hadi nyama unahesabu 😹😹
Rostam azizi ajawekeza huko siku akiwekeza kwenyechumvi ndiyo bei itskuwa sh 8000 kwa kiloNdio, pamoja na umuhimu wa bidhaa hii katika asilimia zaidi ya 80 kwenye mapishi lakini bado emeendelea kutopewa heshima yake kama kiungo muhimu,
Sizani kama napaswa kuelezea saaana wasifu wa Chumvi hapa, mana sizani kama kuna mtu anaweza pitisha siku 3 bila kutumia hiki kiungo. Hivi ni kwa nini hii bidhaa haipandishwi bei hovyo kama bidhaa nyingine?
Chumbi nyingi nchini inaletwa kutoka nje ya nchi kama raw material kisha inapakiwa inasafishwa na kipakiwa nchini.Watu wa Kigoma hawana tamaa.
Nimeshtuka kujua bei za chumvi 😹MImi muda mwingi nipo porini nachoma mkaa so vitu nanunua kwa jumla napeleka porini tunakula na wadau huku tukipiga kazi,nyumbani huwa naenda baada ya miezi miwili ndiyo nitakula chakula kilichopikwa na wife.
Haha ndiyo dini yao inavyotaka ,mwanamke inatakiwa akae ndani ,sokoni anaenda mwanamme....sema mambo ya utandawazi mambo yamebadilika na ndiyo "KISA CHA MPEMBA" kikatokea.Nimeshtuka kujua bei za chumvi 😹
Nikajua km wanaume wa Tanga sokoni wanaenda wenyewe..!!
Malizia sasa hivi WAKINGA au hutaki kutupa credit? 😹Haha ndiyo dini yao inavyotaka ,mwanamke inatakiwa akae ndani ,sokoni anaenda mwanamme....sema mambo ya utandawazi mambo yamebadilika na ndiyo "KISA CHA MPEMBA" kikatokea.
Zamani wenye kumiliki maduka walikuwa WAPEMBA baadae ikaja wachaga.
Hahaa ndiyo WAKINGA na kina MUGABO wanashika soko.Malizia sasa hivi WAKINGA au hutaki kutupa credit? 😹
Nina maswali machache kwako; Je, wewe ni muuza chumvi na hivyo na wewe unataka ipande bei ili uvune faida kubwa kama ilivyo kwa wauza mafuta? au umejikuta unashangaa tu kwa nini haipandi?Ndio, pamoja na umuhimu wa bidhaa hii katika asilimia zaidi ya 80 kwenye mapishi lakini bado emeendelea kutopewa heshima yake kama kiungo muhimu,
Sizani kama napaswa kuelezea saaana wasifu wa Chumvi hapa, mana sizani kama kuna mtu anaweza pitisha siku 3 bila kutumia hiki kiungo. Hivi ni kwa nini hii bidhaa haipandishwi bei hovyo kama bidhaa nyingine?