Ya chumvi inarekebisha maji na electrolytes mwiliniheee kumbe 😅😅hebu nieleweshe vizuri hiyo inasaidia nn mwilini
glucoseKuna dripu ya sukari pia ,Dextrose IV solution🤣
Yeahglucose
Zinatumika sema wewe ndio hauoni😅lakini hazitumiki sana kama ya chumvi🤔
Unafanya kazi kada ya Afya,aidha daktari ama nurse. Jibu kwanza hayo maswali kabla sijaendelealakini hazitumiki sana kama ya chumvi🤔
ila kumbuka matumizi ya sukari sana huzeesha ngoziila kwenye maisha ya kawaida chumvi ni kali mnooo na ikizidi sehemu hauwezi kuitumia mfano kwenye chakula ni unatakiwa uibalance isizidi wala kupungua
ila sukari hata ikizidi ni fresh tu mtu anatumia na anadunda, mfano kwenye keki, soda nk nk wengine wanaenda mbali mpka wanaramba sukari,, ila kumkuta mtu anaramba chumvi ni nadra
Ukitoa sukari maana yake glucose level yako imezidi uwezo wa Figo kuireabsorb kwenda kwenye damu , hivyo moja kwa moja unakua kwenye hatari ya diabetes 🤔min -me nikuulize swali la kizushi unakunywa kinywaji chenye sukari lakini jasho mkojo unatoka wenye chumvi kwanin??
nieleweshe nilikimbia umande
Zote zikizidi ni hatari ila hatari ya sukari ni ya haraka zaidi kuliko ya chumvi kutokea🤔kwa maana hiyo sukari ni hatari na si chumvi?