Japo najua hayajatosheleza🤣🤣nashukuru baba mchunga kwa maelezo yako
VyoteNi karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari.
Kama chumvi ina athari katika mwili wa binadamu kwann mgonjwa huwekewa dripu ya maji yenye chumvi ? na si sukari? 🤣🤣 tunafichwa nin juu ya uwezo wa chumvi Katika miili yetu?
Na fikiri kwa dunia ya sasa kile tunachoaminishwa ni kibaya katika mwili wa binadamu ndicho kilicho sahihi na kile tunachoaminishwa ni kizur ndicho hatar zaidi