Picha tafadhaliHilli jambo huwa linanitatiza sana hivyo huenda leo nikapata Majibu mujarab kabisa kutoka Kwenu Ndugu zangu.
Si uende kupeleka yako nadhani ndo utapata majibu hukohuko, halafu uje utupe mrejeshoHilli jambo huwa linanitatiza sana hivyo huenda leo nikapata Majibu mujarab kabisa kutoka Kwenu Ndugu zangu.