Kwanini Chupi au Soksi zikitatuka ( zikiraruka ) watu hawapendi kuzipeleka kwa Fundi kushonwa kama zilivyo kwa Nguo nyingine?

Kwanini Chupi au Soksi zikitatuka ( zikiraruka ) watu hawapendi kuzipeleka kwa Fundi kushonwa kama zilivyo kwa Nguo nyingine?

Kila kitu kina expire date, mazingira ya chupi mpaka itatuke its either ichanwe kwa mkono

Ama ichanike yenyewe na ikichanika yenyewe which means tayar imeshafika kikomo...

And nguo yako ya ndan unampaje mtu akushonee sio ustaarabu na pia sio nzur kiafya.
 
.
IMG_20200426_191745.jpg
 
Umenkumbusha jana kuna kanyuzi kalikua kananikera ndani ya vest

nikawa nakavuta nakaona kanakuja tu,nakavuta kanakuja tu nikakasirika

nikakavuta kwanguvu,nikaskia ktu kama kinatambaa kiunoni kwangu aah nikapuuzia

usiku narudi home kumbe kale kauzi kalikua kanafumua Boxa,asee nilivyoikuta

hiyo boxa bado kidogo nijikatae sio mimi mwenye hyo boxa,hapa nawaza sjui nikaitupe

au niipeleke kwa fundi akashonee maana kitu bado kinyulaaa kbsa yani sielewi.
 
Nguo zinazovaliwa baada ya ngozi mfano socks, vest, sidiria, pichu na boxer zinaitwa nguo za ndani. Maana yake zinahitaji faragha katika usafishaji na ni lazima zibadilishwe kila siku.
 
Back
Top Bottom