Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

Sie hatuna shida na shemeji. 4/12 ni mwendo wa kisingeli tu. Na vile hamna kiingilio tunakesha afu asubuhi tunaamkua kwa mwamposa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
dah nimecheka sanaaa
 
Hii ni ishara ya uoga. Hiyo ni biashara, ushindani upo na ndiyo kama hivyo.

Weka niweke tuone nani mkubwa.

Komaeni kupambana acheni uoga.
 
Back
Top Bottom