Kwanini condoms zinakaa tatu?

Kwanini condoms zinakaa tatu?

Jf ukipita cku bila kucheka sana utakuwa na matatizo sana, jaribu fikiria uko na mtu halafu ndio anakuuliza huo ujinga
 
Na mimi niulize Eti mbona kondom za kike Sujui lady pepeta haziuzwi madukai kwa wingi kama kondom za kiume
 
Back
Top Bottom