Kwanini condoms zinakaa tatu?

Kwanini condoms zinakaa tatu?

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Mara nyingi huwa najiuliza kwanini condoms zipo tatu.
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi huwa najiuliza kwann condoms zipo tatu
Sio lazima ziwe tatu. Aina zingine hukaa zaidi ya tatu. Ni maamuzi ya watengenezaji tu lakini nafikiri imebainika kuwa wastani wa bao kwa kipindi kimoja ni tatu.
 
Ni kwa ajili ya goli mbili, moja inawekwa kwa dharura.
 
Utafiti unaonyesha kuwa baada ya raundi ya 3, ukivaa kondumu husikii radha yoyote....kwahiyo wanashauri baada ya 3rd round uanze kwenda kavu tu
Kwaio unawashauri waende kavu Baada ya 3 kuisha? ? Teh Teh Teh Teh
 
Sababu kuu ni za kibiashara.

Kuna bidhaa nyingine kama Omo. Kuna peketi za Kilo moja na peketi za gramu 100, kwa wateja wa uwezo tofauti.
 
Back
Top Bottom