Kwanini Congo DRC?

At what percent? Hii ni production ya Cobalt 2023

View attachment 3198621

We Unaona ni sawa kuzitaja hizo nchi compare na Congo?
Kama zingekuwa hazina hiyo Cobalt unayo ipraise muda wote ningeona sio sawa.

Cobalt sio miongoni mwa gold of the 21st century lakini unavyo izungumzia ni kama vile Rare earths ambayo bila hayo huwezi kuwa na technology supremacy sasa na hata baadae
 
Nimekuwekea graph ya Cobalt kukuonesha haina huo umuhimu mkubwa katika hayo maeneo uliyotaja ukicompare na rare earths zinazo hitajika kwa udi na uvumba hili ukamate maeneo yote muhimu karne ya sasa na zijazo kiteknolojia na Congo huko haipo kwenye charts kubwa wewe umekomaa na cobalt cobalt as if ndio kila kitu.
 
Stop this nonsense as if cobalt is oxygen




 
Kinacho itesa Congo drc ni uzalendo nchi haijajengwa kizalendo. Kwa mujibu wa bbc kuna zaidi ya vikundi 400 venye silaha ndani ya Kongo drc, na makundi mengi ni wakongoman wenyewe.
 
Kama zingekuwa hazina hiyo Cobalt unayo ipraise muda wote ningeona sio sawa.

Cobalt sio miongoni mwa gold of the 21st century lakini unavyo izungumzia ni kama vile Rare earths ambayo bila hayo huwezi kuwa na technology supremacy sasa na hata baadae
Nimekupa thamani ya soko 2023 Rare earth ni $7B na Cobalt ni $30B ipi ina thamani?

Rare Earth ni muunganiko wa Madini kama 17 yoote Jumlisha kwa pamoja yanapitwa zaidi ya mara 4 na dini moja tu huoni ni uzwazwa kuyalinganisha?
 
Graph ipi ulioeka kuonesha hauna umuhimu? Graph yako havikua na ulinganisho bali ilionesha nchi zinazo produce rare Earth.

Ni kama mimi nioneshe list ya viwanda vya soda halafu niseme soda Ina thamani kuliko Almasi.

Weka ushahidi wa graph yenye ulinganisho.
 
Huo ni utafiti wa 2024 kwamba unaweza huko baadae kutengenezwa Cobalt free battery. Huo utafiti unaprove point yangu kwamba Cobalt ni muhimu kuanzia karne iliopita hadi leo, kifaa cha Electronic hakitengenezeki bila hayo Material.

Comprehension ni janga la Taifa kusema kweli.
 
Wapi nimezungumzia mambo ya thamani kati ya Cobalt na rare earths au tunazungumzia umuhimu na wewe ndio unasisitiza kuwa bila cobalt hakuna hiki wala hiki

Sasa kati ya cobalt na rare earths zipi zina umuhimu na uhitaji katika maeneo hayo uliyotaja sasa na baadae katika ulimwengu wa kiteknolojia ?

Hiyo cobalt unavyo izungumzia as if haina alternative na ipo Congo pekee dunia nzima na muhimu kuliko kitu chochote kwenye teknolojia
 
Kajifunze kuhusu LFP batteries.
 
Ndio nimekuwekea graph inayo onesha nchi zinazo shikilia hizo rare earths kwa ukubwa ambazo ndizo muhimu katika maeneo mengi ya kiteknolojia kwa sasa na hata baadae tofauti na hiyo cobalt unayo itaja mara zote

 
Professor Lumumba wa Kenya alisema dini imechangia. Ni nchi yenye wakotoliki wengi, wanafuata mtindo kuwa ukichapwa shavu la kushoto mgeuzie na la kulia. Maaskofu wamekaa kimya.
 
LFP battery zinatumika sio kitu cha kuzungumzia kama utafiti
 
Story ya Savimbi huwa inafurahisha sana, waasi hawajuagi nini wanataka wao ni mitutu mitutu na wao.
 
Bila cobalt hakuna kifaa cha Electronic, bila Rare earth material kifaa cha Electronic kinatengenezeka sema tu kinakua hakina Nguvu kama Mwanzo, mfano kama ni Laptop bila Cobalt hakuna Laptop, ila bila rare material laptop ipo ila tu itakua haina nguvu na haika na chaji sana, ipi muhimu zaidi hapo?
 
Story ya Savimbi huwa inafurahisha sana, waasi hawajuagi nini wanataka wao ni mitutu mitutu na wao.

..kilichokua kinatokea Angola kilikuwa kinafikirisha sana.

..visima vya mafuta vya makampuni ya Marekani vilikuwa upande wa Mpla ambao walikuwa wanasaidiwa kijeshi na Cuba.
 
Computer ipi hiyo inaweza kufanya kazi bila rare earths ? Una andika kitu unacho kielewa kweli ? Unajua REES zina cover maeneo mangapi katika Computer mpaka ifanye kazi
 
Kajifunze kuhusu LFP batteries.
Lfp batteries na research nyengine ni technology za sasa, Hebu tell me how will bill gate ama Google wawe na Lfp huko miaka ya 70, Sijakataa kwamba zipo initiative za kutengeneza vifaa sasa hivi bila Cobalt,

Na irony ya Hii comment yako Lfp batteries zinatengenezwa na kampuni za China kama BYD, so still umewapa Credit China na kuwa piga Ko Unaowatetea.

Na Cobalt si battery tu hapo umetaja tumizi moja tu katika Mamia ya matumizi. Mfano gari inaweza litumie Cobalt free battery ila likatumia Air bag iliotokana na Cobalt.

Haya mafuta tunayoyatumia ili kubadili Toka crude kuja kawaida unahitaji Cobalt, rangi tunazotumia zinahitaji Cobalt, Alloy Za kwenye Engine unahitaji Cobalt etc vyote hivyo vipo kwenye Magari.
 
Kuhonga viongozi na kuanzisha waasi ipi ni nafuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…