baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Tatizo lenu moja kwanza mnaforce Cobalt ni batteries hio mistake ya kwanza.Acha porojo nyingi, simu na laptop za juzi tu hapo ambazo tulikuwa tunatumia ambazo betri zake hazikuwa built in ambazo watu walikuwa wanaweza kuzibadilisha na wanaenda kuchajisha betri vibandani zilikuwa zinatumia betri za NiCd-Nickel-cadmium na NIMH.
Simu na Laptop za kisasa ambazo huwezi kuchoma betri(built in batteries) na vifaa vingine vingi pia ndizo zinatumia Cobalt kwa wingi na ni ujanja wa kibiashara uliogunduliwa na makampuni ya electronics ili watu watumie simu na laptop kwa muda mfupi, wasiweze kubadilisha betri au vifaa vingine kwa urahisi wawe wananua simu mpya kila mara. Sio necessity
Pili si kweli mnachosema utakuwa unachanganya li-po na Li-ion battery za zamani pia ni lithium zenye Cobalt
Ushahidi huu hii battery ya Nokia ambayo tumetumia kwenye vitochi na makobe kuchaji
Tatu, kuna Variety kibao za Betri za Nickel zinatumia Cobalt.