Kwanini Congo DRC?

Kwanini Congo DRC?

Hao wanaoiba Madini ni kutoka nchi za Magharibi, in short vifaa vyote tunavyotumia kutype hapa vimejaa damu za Wacongo. Bila cobalt hutengenezi battery na circuit za motherboard, na Congo ndio ina supply Asilimia zaidi ya 70 ya Cobalt duniani, wanaochimba hio cobalt ni watoto wadogo mno na ni kama serikali ya Congo haifadiki na chochote.

Kukiwa na Congo imara ina maana watakuwa na say na Cobalt yao. Bei itapanda na wanaweza wakamuuzia yoyote, China, Urusi na wengineo, na tukiwa tunaelekea ulimwengu wa Magari ya Umeme umuhimu wa cobalt unazidi kuwa Mkubwa.

So solution ni hio ku distabilize nchi ili watu wajichotee hizo Mali,

Mwanajeshi halimi, hafanyi biashara wala haingizi kipato chochote na ana Gharama kubwa mno, kuanzia kumvisha, kumlisha, kumnunulia Silaha, kumtrain etc hakuna popote pale Duniani ambapo kuna muasi asiye supportiwa na nchi nyengine, hakuna, huwezi endesha jeshi kwa ulimwengu wetu wa sasa bila Supply na Logistic za hao mabwana wakubwa.
Maelezo mengi lakini hauja jibu nilicho uliza ,zaidi umekwenda mbali kwa kuonesha wanufaika wa Mali ya DRC.

South Africa Kuna mali mbona kumetulia,shida ya Congo iko kwa Wacongomani wenyewe.
 
Japo hatuifikii Congo, lakini hata sisi utajiri tulio nao si haba! Lakini mbona sisi tuna "amani"?

Huoni kama na Wacongo nao wamechangia hayo yanayoendelea nchini kwao?
Hatufiki hata asilimia 1 ya Congo Madini yao na rasilimali zao, unailinganisha sisimizi na Nyangumi mkuu.

Estimation ya Madini ya Congo ni $24 trillion, sijui hata nikuelezeje ila it's a lot of money. Kama hayo Madini yanauzwa kwa haki kwa pamoja basi Immediately Congo inakua Nchi ya pili Tajiri zaidi Duniani na GDP per capita inakuwa ya kwanza Duniani.

Na Madini yao sio tu urembo kama ya kwetu bali ni Madini ambayo yameshikilia Dunia, Cobalt inatumika na kifaa Chochote cha Electronic iwe Simu, laptop, gari Na mengineyo. Soko lake kwa Dunia linafika hadi $30B ila Congo wanapata tu visenti.

Congo imara ina maana watakaza, wao ni monopoly wanazalisha zaidi ya Asilimia 70 ya Cobalt hivyo wanaweza ku regulate bei, so ili watu wasifike huko inabidi nchi iwe undermined watu waendelee kuiba.
 
Maelezo mengi lakini hauja jibu nilicho uliza ,zaidi umekwenda mbali kwa kuonesha wanufaika wa Mali ya DRC.

South Africa Kuna mali mbona kumetulia,shida ya Congo iko kwa Wacongomani wenyewe.

..Na mimi nimeuliza mbona mpaka wa Congo na South Sudan, Afrika ya Kati, Tanzania, Zambia, Angola, hakuna shida?

..kwanini eneo lisilo na amani ni lile linalopakana na Rwanda, na Uganda, wakati mipaka mingine iko shwari?
 
Hatufiki hata asilimia 1 ya Congo Madini yao na rasilimali zao, unailinganisha sisimizi na Nyangumi mkuu.

Estimation ya Madini ya Congo ni $24 trillion, sijui hata nikuelezeje ila it's a lot of money. Kama hayo Madini yanauzwa kwa haki kwa pamoja basi Immediately Congo inakua Nchi ya pili Tajiri zaidi Duniani na GDP per capita inakuwa ya kwanza Duniani.

Na Madini yao sio tu urembo kama ya kwetu bali ni Madini ambayo yameshikilia Dunia, Cobalt inatumika na kifaa Chochote cha Electronic iwe Simu, laptop, gari Na mengineyo. Soko lake kwa Dunia linafika hadi $30B ila Congo wanapata tu visenti.

Congo imara ina maana watakaza, wao ni monopoly wanazalisha zaidi ya Asilimia 70 ya Cobalt hivyo wanaweza ku regulate bei, so ili watu wasifike huko inabidi nchi iwe undermined watu waendelee kuiba.

..mbona Tanzania kuna amani lakini madini yanatoka?

..amani ikiwepo madini yatatoka kwasababu Congo inahitaji mapato kutokana na madini hayo, na zaidi hawana teknolojia ya kuyachimba.
 
..wanaoiba ni wacongo, wanyarwanda, na waganda, halafu wanauza kwa nchi za magharibi, china, na kwingine.

..wanachojali nchi za magharibi na china ni kupata madini. Hawajali aina ya mtawala aliyepo Congo, na kama kuna amani, au la.

..Congo ingekuwa na amani bado kungekuwa na option ya rushwa kama njia ya nchi za magharibi na China kuendelea kufaidi rasilimali za Congo.
Na huu ndo ukweli ambao wengi hatutaki kuukubali kama viongozi wa Congo hawajali kuhusu raia wao nani atajali ? Mfano raia wa Canada awe na uchungu na raia Wa'congo ambao viongozi wao hawajali kuhusu raia wao ni maajabu ya karne.
Viongozi wa Congo ni mafisadi wa kutupwa .
 
..sio kweli kwamba nchi za magharibi hazitaki Wacongo wajitawale.

..nchi za magharibi hazijali mateso ya Wacongomani kwasababu supply ya madini kwenda kwao haijakatishwa kutokana na vita na mauaji yanayoendelea DRC.

..siku vita hivyo vikisababisha nchi za magharibi zikakosa madini muhimu toka DRC ndipo utakapoona wanaingilia kati na kutaka vita iishe.
Mkuu comment yako ingemake sense kama Western powers ndio wanunuaji pekee wa hayo Madini.

Cobalt is hot product, kila nchi duniani inaimezea mate, so Congo ikiwa na amani ina maana kutakuwa na bidding wars baina ya Nchi, atakaetoa kiasi kikubwa cha pesa ndio atapata Bidhaa, hichi ndio hao watu wa magharibi hawakitaki,

Sasa hivi China ananunua asilimia 80 ya Cobalt ya Congo (inayouzwa Ki halali) At same time Rwanda ana deal na EU na west kwa Ujumla kuwauzia Madini, it's open secret hayo Madini yanayokuwa smuggled yanakweda zaidi west

Nikukumbushe tu mkuu Che Guevara alipo kuja kukomboa Kongo, nchi za Magharibi ziliogopa sana na ku stock cobalt kwa wingi, Na kwa njia yoyote ile waliitaka tena Cobalt ambayo wakati huo wa cold war ilienda USSR, ndio wakamuweka Dikteta wao Mobutu.
 
..mbona Tanzania kuna amani lakini madini yanatoka?

..amani ikiwepo madini yatatoka kwasababu Congo inahitaji mapato kutokana na madini hayo, na zaidi hawana teknolojia ya kuyachimba.
Guys rudini kwenye data kucompare Tanzania na Congo kwenye Madini ni dhihaka hizi, we are talking $24 trillion worth of minerals here, tena Madini yanayorun Dunia sio Tanzanite na dhahabu.

Cobalt pekee soko la dunia inaenda hadi $30B na Congo anahusika na 70% ya hio cobalt, sisi Export yetu kwa mwaka hata $2B haifiki, mwaka uliopita ni kama $1.4B. Kama mapato yetu miaka 20 Madini yote hayafikii pato la dini moja tu la Congo kwa. Mwaka huoni ni ujinga kucompare hizi Nchi?
 
Maelezo mengi lakini hauja jibu nilicho uliza ,zaidi umekwenda mbali kwa kuonesha wanufaika wa Mali ya DRC.

South Africa Kuna mali mbona kumetulia,shida ya Congo iko kwa Wacongomani wenyewe.
South Africa reserve yao ya Madini $2.5 Trilioni, Congo $24 Trilioni. Mbinguni na Ardhi.

Hakuna Africa Hii nchi yenye Madini hata robo tu ya Congo,
 
Guys rudini kwenye data kucompare Tanzania na Congo kwenye Madini ni dhihaka hizi, we are talking $24 trillion worth of minerals here, tena Madini yanayorun Dunia sio Tanzanite na dhahabu.

Cobalt pekee soko la dunia inaenda hadi $30B na Congo anahusika na 70% ya hio cobalt, sisi Export yetu kwa mwaka hata $2B haifiki, mwaka uliopita ni kama $1.4B. Kama mapato yetu miaka 20 Madini yote hayafikii pato la dini moja tu la Congo kwa. Mwaka huoni ni ujinga kucompare hizi Nchi?

..mataifa makubwa yatachimba vizuri zaidi kama Congo ikiwa na amani.

..hawa-invest kwenye amani ya Congo kwasababu supply madini haijakata.
 
Mkuu comment yako ingemake sense kama Western powers ndio wanunuaji pekee wa hayo Madini.

Cobalt is hot product, kila nchi duniani inaimezea mate, so Congo ikiwa na amani ina maana kutakuwa na bidding wars baina ya Nchi, atakaetoa kiasi kikubwa cha pesa ndio atapata Bidhaa, hichi ndio hao watu wa magharibi hawakitaki,

Sasa hivi China ananunua asilimia 80 ya Cobalt ya Congo (inayouzwa Ki halali) At same time Rwanda ana deal na EU na west kwa Ujumla kuwauzia Madini, it's open secret hayo Madini yanayokuwa smuggled yanakweda zaidi west

Nikukumbushe tu mkuu Che Guevara alipo kuja kukomboa Kongo, nchi za Magharibi ziliogopa sana na ku stock cobalt kwa wingi, Na kwa njia yoyote ile waliitaka tena Cobalt ambayo wakati huo wa cold war ilienda USSR, ndio wakamuweka Dikteta wao Mobutu.

..China anapata madini.

..Western countries zinapata madini.

..kwasababu vita haijaathiri supplies ndio maana hawajishughulishi nayo.
 
..Ni kwasababu waasi wa DRC wanasaidiwa na Uganda, na Rwanda.

..waasi wanapokuwa na support ya nchi majirani basi ni vigumu sana kuwamaliza.

..Jonas Savimbi alikuwa moto kwelikweli Angola, lakini misaada toka Afrika Kusini na Zaire/DRC ilipokatika Savimbi aliisha makali.
Mkuu, sidhani kama Kishansa hata wanajua kama nchi ipo vitani huko Kivu. DRC ni muunganiko wa nchi nne ndani ya ardhi moja..
 
..China anapata madini.

..Western countries zinapata madini.

..kwasababu vita haijaathiri supplies ndio maana hawajishughulishi nayo.
Vita vinasaidia supply ya Madini west kuongezeka (wanahusika na smuggling) Amani inasaidia Maslahi ya Congo kuongezeka wataweza kuuza kwa wanayemtaka.
 
..amani itasaidia SERIKALI ya Congo kupata mapato makubwa zaidi, na hata kuweza ku-,negotiate bei nzuri.

..vita hii haiongezi wala kupunguza supply kwa nchi za magharibi, China, na nyinginezo.

..vita ingekuwa inaathiri upatikanaji / supply ya madini hayo muhimu kwa nchi zenye viwanda, basi ungezishuhudia zikiushughulikia mgogoro huo kwa nguvu zaidi.
 
Kuna nchi zilishawahi kuingia katika misukosuko ya kisiasa lakini hatimaye zilikuja kutukia. Rwanda ni mojawapo.

Kwanini imekuwa tofauti nchini Congo DRC?

1. Tatizo ni uongozi? Angepatikana huko kiongozi kama NYERERE, au KAGAME au MAGUFULI angeweza kuituliza?

2. Wasababisha machafuko ya Congo DRC wana nguvu kuliko wazuiaji?

3. Hulka ya raia wa Congo DRC inachangia?
shida ni Paul kagame na mseveni .wale jamaa siyo kabisa.sisjui kwa nini wako EAC
 
DRC ni Nchi pekee ambayo Mtutsi hawezi kuwa raia ni sawasawa na kusema Wamasai wote ni wakutoka Kenya Mmasai hawezi kuwa Mtanzania.
 
Kuna nchi zilishawahi kuingia katika misukosuko ya kisiasa lakini hatimaye zilikuja kutukia. Rwanda ni mojawapo.

Kwanini imekuwa tofauti nchini Congo DRC?

1. Tatizo ni uongozi? Angepatikana huko kiongozi kama NYERERE, au KAGAME au MAGUFULI angeweza kuituliza?

2. Wasababisha machafuko ya Congo DRC wana nguvu kuliko wazuiaji?

3. Hulka ya raia wa Congo DRC inachangia?
Yote ni majibu ....

Kuhusu uongozi tangu auwawe Patric Lumumba, viongozi waliofuata hasa Mobutu hakuwa mzalendo kabisa.

Rasilimali zake ilizonazo zinaiponza.
 
..amani itasaidia SERIKALI ya Congo kupata mapato makubwa zaidi, na hata kuweza ku-,negotiate bei nzuri.

..vita hii haiongezi wala kupunguza supply kwa nchi za magharibi, China, na nyinginezo.

..vita ingekuwa inaathiri upatikanaji / supply ya madini hayo muhimu kwa nchi zenye viwanda, basi ungezishuhudia zikiushughulikia mgogoro huo kwa nguvu zaidi.
Wewe ndio unafikiri hivyo ila Usa na West kwa Ujumla hawafikirii hivyo. Na siongelei theory nimekupa tu mfano mzuri hapo hapo Congo, Mobutu alisaidiwa na Usa Kupindua serikali ya Congo sababu ya Cobalt, sababu tu Serikali hio iliuza Cobalt zake USSR, trust me they will never ever kukubali wasipate hio cobalt, wataanzisha hata vita vikuu vya 3 vya dunia.

Na vita haviwaathiri wao sababu wao ndio wana fund hayo makundi, so wanajua wanachofanya ni nini.
 
Back
Top Bottom