Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
South Africa wana madini, Tanzania tuna madini, Ghana, Burkinafaso n.k why Congo DR?Nchi gani ina Madini yenye thamani kama $24 trillion?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
South Africa wana madini, Tanzania tuna madini, Ghana, Burkinafaso n.k why Congo DR?Nchi gani ina Madini yenye thamani kama $24 trillion?
Boss na kujibu comment ya mwisho maana naona kichwa chako kigumu sana kuelewa.South Africa wana madini, Tanzania tuna madini, Ghana, Burkinafaso n.k why Congo DR?
China ndio anachakua 70% ya Cobalt yote ya Congo. China inamiliki migodi 15 kati ya migodi 19 ya Cobalt huko DRC.Sababu wana Mali, leo hii Congo ikifungwa hakuingii hakutoki Kitu nchi nyingi za west zitakua katika hali ngumu sana.
Congo ndio wana run Dunia kwenye mambo mengi sana na Madini yao ni crucial kwenye Technology za sasa. Mabwana wakubwa hawataki wajitawale na kujielewa ili mambo yao yaende.
Wachina ndio wanunuzi wakubwa wa Cobalt ya Congo, kati ya 70% hadi 80% ya raw Cobalt yote ya DRC inaenda China. Pia China inazalisha theluthi mbili ya processed Cobalt duniani.Mkuu comment yako ingemake sense kama Western powers ndio wanunuaji pekee wa hayo Madini.
Cobalt is hot product, kila nchi duniani inaimezea mate, so Congo ikiwa na amani ina maana kutakuwa na bidding wars baina ya Nchi, atakaetoa kiasi kikubwa cha pesa ndio atapata Bidhaa, hichi ndio hao watu wa magharibi hawakitaki,
Sasa hivi China ananunua asilimia 80 ya Cobalt ya Congo (inayouzwa Ki halali) At same time Rwanda ana deal na EU na west kwa Ujumla kuwauzia Madini, it's open secret hayo Madini yanayokuwa smuggled yanakweda zaidi west
![]()
‘Blood minerals’: What are the hidden costs of the EU-Rwanda supply deal?
EU plans to secure supplies for green revolution from Rwanda likely to support smuggling of conflict minerals from DRC.www.aljazeera.com
Nikukumbushe tu mkuu Che Guevara alipo kuja kukomboa Kongo, nchi za Magharibi ziliogopa sana na ku stock cobalt kwa wingi, Na kwa njia yoyote ile waliitaka tena Cobalt ambayo wakati huo wa cold war ilienda USSR, ndio wakamuweka Dikteta wao Mobutu.
Analipa na wewe unaongelea Cobalt ya kihalali sikatai, na hii hoja yako Ina prove my point kwamba Cobalt ikiuzwa kihalali Mchina ama Mrusi wangeinunua kwa wingi kuliko western powers. Kifupi west hawataki kulipa wanataka njia za mkato ikiwemo hata kuua na kusababisha machafuko ili wapate hayo Madini.China ndio anachakua 70% ya Cobalt yote ya Congo. China inamiliki migodi 15 kati ya migodi 19 ya Cobalt huko DRC.
Mbona Kazakhstan, Brazil, Chile, Peru na Australia hakuna vita vya wenyewe kwa wenyewe??Vita vinasaidia supply ya Madini west kuongezeka (wanahusika na smuggling) Amani inasaidia Maslahi ya Congo kuongezeka wataweza kuuza kwa wanayemtaka.
Western powers wanunue Cobalt nyingi kuliko China wapeleke wapi wakati viwanda vikubwa vinavyohitaji hiyo Cobalt kwa sasa viko China??Analipa na wewe unaongelea Cobalt ya kihalali sikatai, na hii hoja yako Ina prove my point kwamba Cobalt ikiuzwa kihalali Mchina ama Mrusi wangeinunua kwa wingi kuliko western powers. Kifupi west hawataki kulipa wanataka njia za mkato ikiwemo hata kuua na kusababisha machafuko ili wapate hayo Madini.
Tunachoongelea hapa ni yale Madini yanayoibiwa. Mfano nimeweka juu link ya EU kusign mkataba na Rwanda kununua Madini kwa ajili ya Magari ya Umeme na solar panel, Rwanda ana haya Madini? Hana yanatoka wapi kama hana? We mwenyewe unajua yanatoka wapi
![]()
‘Blood minerals’: What are the hidden costs of the EU-Rwanda supply deal?
EU plans to secure supplies for green revolution from Rwanda likely to support smuggling of conflict minerals from DRC.www.aljazeera.com
Kila siku tunaambiwa Rwanda ana support machafuko Congo na tunaona Rwanda anawauzia Nchi za Magharibi haya Madini.
Australia ni kama Usa Wanaongoza wao siku kukiwa hakuna serikali inayo wasuport utaona, na Kazakhstan siku nyingi kuna puppets inajulikana, hata Congo kipindi kuna puppet wao (Mobutu) waliridhika, Brazil ana Madini mengi ila sio muhimu kwamba anategemewa Brazil tu. Issue ya Congo ni Unique huwezi kui replicate kokote pale, Cobalt ndio Madini muhimu sasa hivi, muhimu kushinda hata mafuta, Bila cobalt hakuna Magari ya Umeme, hakuna iphone, hakuna Laptop, hakuna, redio, hakuna AC hakuna kifaa chochote cha electronic.Mbona Kazakhstan, Brazil na Australia hakuna vita vya wenyewe kwa wenyewe??
Ni upumbavu wa Wacongo wenyewe, mengine yote ni excuse za kipumbavu.Kuna nchi zilishawahi kuingia katika misukosuko ya kisiasa lakini hatimaye zilikuja kutukia. Rwanda ni mojawapo.
Kwanini imekuwa tofauti nchini Congo DRC?
1. Tatizo ni uongozi? Angepatikana huko kiongozi kama NYERERE, au KAGAME au MAGUFULI angeweza kuituliza?
2. Wasababisha machafuko ya Congo DRC wana nguvu kuliko wazuiaji?
3. Hulka ya raia wa Congo DRC inachangia?
Vita ya Congo haijaanza leo, vita vya DRC vimeanza kabla hata ya uwepo wa smartphones, laptops na magari ya umeme.Australia ni kama Usa Wanaongoza wao siku kukiwa hakuna serikali inayo wasuport utaona, na Kazakhstan siku nyingi kuna puppets inajulikana, hata Congo kipindi kuna puppet wao (Mobutu) waliridhika, Brazil ana Madini mengi ila sio muhimu kwamba anategemewa Brazil tu. Issue ya Congo ni Unique huwezi kui replicate kokote pale, Cobalt ndio Madini muhimu sasa hivi, muhimu kushinda hata mafuta, Bila cobalt hakuna Magari ya Umeme, hakuna iphone, hakuna Laptop, hakuna, redio, hakuna AC hakuna kifaa chochote cha electronic.
Haya makampuni makubwa DunianiView attachment 3198509
Apple, Nvidia, Microsoft, Alphabet (Google), Amazon, Meta, Broadcom, Tesla, Tsmc, Samsung na wengine wengi wote Value yao ina Revolve around Cobalt,
Kama leo Congo inastopisha Cobalt na kufunga mpaka yote yanatetereka hayo na Tunaanza kutafutana humu, that's how important Cobalt is. Utafananisha na Nchi gani na Dini gani?
Huu ndo ukweli ambao watu wengi wanajifanya hawaujuiSababu wana Mali, leo hii Congo ikifungwa hakuingii hakutoki Kitu nchi nyingi za west zitakua katika hali ngumu sana.
Congo ndio wana run Dunia kwenye mambo mengi sana na Madini yao ni crucial kwenye Technology za sasa. Mabwana wakubwa hawataki wajitawale na kujielewa ili mambo yao yaende.
Inaonesha unapenda fujo sana wewe...! Lianzishe kwenye familia yako itatosha, sio lazima Tizedi nzima iingie vitaniNi upumbavu wa Wacongo wenyewe, mengine yote ni excuse za kipumbavu.
Mtu nchi yake iko vitani yuko somewhere ughaibuni hana hata uchungu unamsikia "papaa nikufege juu ya nini, mie ni myuzisiee". Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga ndiyo alisababisha watu kutokuwa na uzalendo, alifanya watu wakapoteza uzalendo kwa jinsi alivyoiongoza nchi kiubinafsi kama Tanzania inapoelekea watu wanapoteza uzalendo kwa jinsi nchi inavyoendeshwa kiubinafsi.
Kampuni kubwa inayo Tengeneza Vifaa vidogo vidogo vya Ndani vya Electronic Broadcom ni ya Marekani, kuna Apple, Tesla na wengine wengi, sababu wana manufacture China (Assembly) haimaanishi eti from scratch imetengenezwa China,Western powers wanunue Cobalt nyingi kuliko China wapeleke wapi wakati viwanda vikubwa vinavyohitaji hiyo Cobalt kwa sasa viko China??
China, Taiwan, Korea Kusini na Japan ndio wazalishaji wakubwa zaidi wa electronics na magari duniani.
Nickel na Manganese ni mbadala wa Cobalt, hata Congo isipokuwepo leo wafanyabiashara wa battery na electronics wataendelea na biashara zao kama kawaida na kuendelea kupiga pesa, Waafrika acheni ujuha wa kujifikiria nyie ni alpha na omega, dunia ni kubwa sana na kila kitu kina mbadala wake.Kama leo Congo inastopisha Cobalt na kufunga mpaka yote yanatetereka hayo na Tunaanza kutafutana humu, that's how important Cobalt is. Utafananisha na Nchi gani na Dini gani?
Ni hivi, ni rahisi zaidi Waafrika kuwafungulia mashitaka kama hayo wazungu kama Apple, BAE systems n.k kwa sababu wanaonekana kujali. Wachina hawajali mambo ya illegal mining, blood diamonds, human rights,Kampuni kubwa inayo Tengeneza Vifaa vidogo vidogo vya Ndani vya Electronic Broadcom ni ya Marekani, kuna Apple, Tesla na wengine wengi, sababu wana manufacture China (Assembly) haimaanishi eti from scratch imetengenezwa China,
Kuna lawsuit kibao za haya Madini
Hii Congo wanawashtaki Apple kwa kununua illegal mineral ya Congo kupitia Rwanda
![]()
Why the DR Congo sued Apple over 'conflict minerals' – DW – 12/21/2024
The Democratic Republic of Congo accuses Apple of using minerals sourced from illegal mining. Local communities affected by illicit mining explore the potential ramifications of a victory against the US tech giant.www.dw.com
Hapa Whistleblower ametoa ushahidi kuhusu Apple wanavyo Smuggle na Apple wakakakataa ku comment.
Unaona utofauti hapa? China ama Migodi na Analipa Congo, anawasaidia hadi kutengeneza miundombinu kama Barabara zaidi ya Trilioni 10 kawekeza, Ila Apple kampuni kubwa zaidi Duniani ina nunua Cobalt Rwanda na kwa Waasi, bado unataka ushahidi?
Nchi inayo ongoza kwa Rare earths ni China lakini haina hali iliyo nayo Congo toka kupata uhuru wake 1949Nchi gani ina Madini yenye thamani kama $24 trillion?
Wacongo ni watu wa ajabu kwanza wanajeshi la hovyo sanaSouth Africa reserve yao ya Madini $2.5 Trilioni, Congo $24 Trilioni. Mbinguni na Ardhi.
Hakuna Africa Hii nchi yenye Madini hata robo tu ya Congo,
Kazakhstan ina madini yenye thamani ya $46 Trillion.Nchi gani ina Madini yenye thamani kama $24 trillion?
Wewe nae ukasome unataka kutafuniwa kila kitu alaahh😀😀😀Maelezo mengi lakini hauja jibu nilicho uliza ,zaidi umekwenda mbali kwa kuonesha wanufaika wa Mali ya DRC.
South Africa Kuna mali mbona kumetulia,shida ya Congo iko kwa Wacongomani wenyewe.