Kwanini contents nyingi katika Mitandao ya kijamii ni ya kuhamasisha ngono?

Kwanini contents nyingi katika Mitandao ya kijamii ni ya kuhamasisha ngono?

Inawezekana ndio content unazo interact nazo mara nyingi, Algorithim inakuletea kile upendacho ku interact nacho. Mfano mdogo mtu ukiwa na profile mpya youtube huwa hawakuletei suggestion yoyote, wanakupa room ya ku search, baada ya kufanya search yako ya kwanza content utakazoletewa hazitokuwa tofauti sana na ulicho ki search
 
Majizi ya Ccm yanakaa madarakani kwasababu kuongoza wajinga ni kazi rahisi tu , wakidai katiba vujisha video ya ngono mjadala unahamia huko miaka miwili
 
Mwenyewe nashangaa bora tuwe tunajadili mada za wanyama
FB_IMG_17414462876723905.jpg
 
Back
Top Bottom