Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Nendeni mkaijaze Dunia.Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono.
Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono.
Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
Nyingi ni za vijana,wazee hatuna hizi,viuno vimechemka!Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono.
Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono.
Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
We Kimwakaleli wewe angalia mbele na nyumaNyingi ni za vijana,wazee hatuna hizi,viuno vimechemka!
Niangalieje Mkuu,Harmul,isiwe hatari!We Kimwakaleli wewe angalia mbele na nyuma
Hii unaipenda maana Monika wa kijijini alikukomaa na uchawi wake!Labda tumuulize GENTAMYASS a.k.a OMOYOGWANE
GENTAMYCINELabda tumuulize GENTAMYASS a.k.a OMOYOGWANE