mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Hilo sio jibuUnauliza Bangi Longido?
Nani Huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hata Mimi na mwafulani ipo motomoto...
AliyechekaNani Huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Nifah na The bold wameweka wazi hapa kuwa sio kapo tu ya jf bali anakolala Nifah ndiko anakoamkia The bold, je lugha hii ni ngumu?Je......
Karibuni nyote mliobobea / mliotukuka katika Elimu nzima ya Mapenzi mtupe ujuzi wenu tafadhali kwani kuna wengine humu Couples zetu hazina tofauti na uwanja wa vita au yanayotokea huko nchini Syria ( namaanisha ni za hovyo hovyo tupu )
- Damu zao zimeendana?
- Wameridhiana Kimahaba?
- Wana Mapenzi ya dhati?
- Hawajadanganyana kama sisi Mangumbaru / Hohehahe wengine tunaorukaruka tu?
- Wamerogana na labda Uchawi au umegongana hivyo hakuna awezaye kuchomoka?
- Nyota zao zimelalia upande mmoja?
- Mwenyezi Mungu aliwaanda muda mrefu tu ila wao hawakujua mapema?
Nawasilisha.
KabisaJennifer Lopez na Beyonce Knowles wanakaa Mkuu.
Mpaka moyo umestukaNi moja kati ya couple za demo in planets babe
Kwanini unapenda kunishtukiza bila hata salamu?Mpaka moyo umestuka
Naona naelekea kukushindwa sasaKwanini unapenda kunishtukiza bila hata salamu?
Wewe sema umepata mwingine bwanaNaona naelekea kukushindwa sasa
Bby [emoji27] [emoji27] [emoji27]Wewe sema umepata mwingine bwana
Yani unaubomoa moyo wangu mapema yote hii Daby!Wewe sema umepata mwingine bwana
Hivi leo mmeangalia taarifa ya habari? [emoji6]Bby [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Yani unaubomoa moyo wangu mapema yote hii Daby!
Unaleta ya "vita dhidi ya dawa za kulevya haijawahi kumuacha mtu salama".Hivi leo mmeangalia taarifa ya habari? [emoji6]
Usitutoe kwenye hoja hebu. Nauliza umenichoka?Hivi leo mmeangalia taarifa ya habari? [emoji6]
Hahahaha... Binafsi nitaumia kama hautobaki salama bora mimi nidhurikeUnaleta ya "vita dhidi ya dawa za kulevya haijawahi kumuacha mtu salama".
Walaa. Ila kwanini unanifanyia hivi vi. Come basiUsitutoe kwenye hoja hebu. Nauliza umenichoka?