Hapo sawa. Kusameheana kuzuri kwa afya za bailojia zetu. Wewe haujamkana Paw ujueWaite kwanza ile michepuko yako yote uikane hapa
Kumbe nawe ni mbovu tena haya majanga + + sasaYap ukimtosa utasababisha left ventricle yake ipasuke si unajua tena charlie ni mbovu hata kwa right auricle[emoji4][emoji4]
Hamna me so mbovu [emoji4][emoji4]..namsemea daby...but nilisema ntakuwa ndumila kuwili shem[emoji4][emoji4]Kumbe nawe ni mbovu tena haya majanga + + sasa
OoooohHamna sema Daby nilisha mkataza kupita na Winsky mbele ya bebeee hasikii[emoji4][emoji4][emoji4]
Ni wa dada yakoMmh. Huu sio mwandiko wa mpwa wangu.
Itakuwa mpwa. Nilitegemea utampa anko credits ila wapi.Ni wa dada yako
Mi ndumilakuwili simtaki banaHamna me so mbovu [emoji4][emoji4]..namsemea daby...but nilisema ntakuwa ndumila kuwili shem[emoji4][emoji4]
Promise hutochepuka tena[emoji17]Naona shetani ananyemelea penzi liliowezungukwa na damu ya bwana. Tabasamu tusali nafsi zipumue babe.
Michepuko inipite kushoto mimi. Big PROMISE. [emoji3][emoji3][emoji8]Promise hutochepuka tena[emoji17]
Me namsemea Daby lkn najisemea namimi[emoji4][emoji4][emoji4]...kwani mwenyeji akiondoka siruhusiwi kukung'uta jamvi bebe[emoji4][emoji4]hihihiMi ndumilakuwili simtaki bana
Na ukichepuka tena nikufanyaje?Michepuko inipite kushoto mimi. Big PROMISE. [emoji3][emoji3][emoji8]
Hahaha mkuu yaliparamia kwenye kidevu[emoji4][emoji4] ...charlie usirudie tena Winsky mbele ya shem utalala nje...ukija gheto sitakupokeaMichepuko inipite kushoto mimi. Big PROMISE. [emoji3][emoji3][emoji8]
Inategemea na muondoko wa mwenyeji sasa hapoMe namsemea Daby lkn najisemea namimi[emoji4][emoji4][emoji4]...kwani mwenyeji akiondoka siruhusiwi kukung'uta jamvi bebe[emoji4][emoji4]hihihi
Mwenyeji akisepa to infinity me naapproach small distance (x)[emoji4][emoji4][emoji4]Inategemea na muondoko wa mwenyeji sasa hapo
Wewe nifanye utakalo hata kunikata nyeti kikubwa usinikimbie tu. Mbona haunipi makopa? [emoji57]Na ukichepuka tena nikufanyaje?