Ubuyu wangu? Cum basi niusikie nitakulipa utakacho. NakusubiriHahha kafunguz kwingine twendelee halaf nna ubuyu wako wewe sitoi bure mpaka pesa
Lipia huduma kwanzaUbuyu wangu? Cum basi niusikie nitakulipa utakacho. Nakusubiri
Hivi kwanza wewe kukutetea kote kule hata nipe angalau vichwa vya ubuyu uanze kunilipaLipia huduma kwanza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kabla sijakupigia [emoji3][emoji3].
Tatizo moyo utaweza swahiba?
[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Narudi na panga[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Narudi na panga
Siwaelewi atiWalaa. Ila kwanini unanifanyia hivi vi. Come basi
Usitutoe kwenye hoja hebu. Nauliza umenichoka?
Kwa kuwasoma tu unaona true love kati yao.Je......
Karibuni nyote mliobobea / mliotukuka katika Elimu nzima ya Mapenzi mtupe ujuzi wenu tafadhali kwani kuna wengine humu Couples zetu hazina tofauti na uwanja wa vita au yanayotokea huko nchini Syria ( namaanisha ni za hovyo hovyo tupu )
- Damu zao zimeendana?
- Wameridhiana Kimahaba?
- Wana Mapenzi ya dhati?
- Hawajadanganyana kama sisi Mangumbaru / Hohehahe wengine tunaorukaruka tu?
- Wamerogana na labda Uchawi au umegongana hivyo hakuna awezaye kuchomoka?
- Nyota zao zimelalia upande mmoja?
- Mwenyezi Mungu aliwaanda muda mrefu tu ila wao hawakujua mapema?
Nawasilisha.
Wewe ndio umemaliza yote...naam,hili ndilo jibu sahihi.[emoji135]Anachopewa Huyo Dada nahis hajawahi kufanyiwa na Mwanaume mwingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hao ni ndege,wafananao wacheni waruke pamoja.
Asitokee mkware wa kuharibu jamani.
mana ukiona mamba lazima likenge liwepo jirani
Daaaaaah kaka yangu utaniulia watu,sio kwa kunipamba huku [emoji119]Jennifer Lopez na Beyonce Knowles wanakaa Mkuu.
Shukraan mkuu.Aisee mkuu umeliona hili wako moto moto inapendeza sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Agata who is that mwafulani???
Thanks lovie [emoji8]Kwa kuwasoma tu unaona true love kati yao.