Kwanini Couple ya akina The Bold na Nifah inakubalika na kuwa na mvuto kuliko zilizokuwepo humu JF?

Daaaaaah kaka yangu utaniulia watu,sio kwa kunipamba huku [emoji119]

Nilikuambia kuwa Wewe na Mpenzi wako sitaki nione mnapotea humu JF vinginevyo nitakuwa kila mara nawashtueni kama hivi ili mfufuke kutoka huko machimboni mlipo. Ni kweli JF tupo Members wengi ila Wewe na Mpenzi wako mna umuhimu mkubwa kuwepo humu Jamvini 24/7. Acheni kuwa kimya sana kwani mnatutesa Sisi tunaowapenda Kunakotukuka.
 
Hivi ukikuta ni mtu mmoja mwenye ID mbili?Huyu Bold mwenyewe alivyo mtunzi na msanii, kwanini ashindwe?

Mtashangaa siku analeta series ya yy kutumia ID mbili, Nifah na Bold kiasi kwamba Mods na members wote kudhania ni wapenzi, kumbe mtu mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The bold Nifah
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakika umesimamia ulichokisema kikamilifu.
Sasa hivi niko busy kaka,sio jobless kama zamani [emoji85].
Nashukuru kwa kutufukua,nitahakikisha huu ukimya hauzidi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakika umesimamia ulichokisema kikamilifu.
Sasa hivi niko busy kaka,sio jobless kama zamani [emoji85].
Nashukuru kwa kutufukua,nitahakikisha huu ukimya hauzidi.
ww Nifah nimekupoteza hvhv, kila nikiwaza kukufata inbox nasahau.

HAKIKA HAIKUA BAHATI YANGU.

NDOA NJEMA
 
Mmh ngoja na
Mm nitafute cauple yangu nijipe maujiko
 
Hahaha!! Shemeji naona umetimiza kiapo chako cha kutuchokoza ukiona tuko kimya... [emoji23] [emoji23]


Turudi kwenye mada mezani...


Yani na ujanja wangu wote huu hata mtu akiniulizaga kuna siri gani kati yetu... Huwa sijui nimjibu nini... I just know that I LOVE HER... I LOVE HER mno mno mno...


Unajua mimi nimekulia uswahilini... Ile uswahili haswa... Mbagala, Mafisa (Moro), Magomeni... Sasa uswahili kuna ile 'dogma' tunaaminishana kwamba siku hizi hakunaga mapenzi ya kweli... Na honestly nimekua nikiamini hivyo....
Lakini kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu nilipokutana na huyu malaika hili tango pori nililolishwa tangu utoto sijui hata lilinitoka muda gani kichwani... It was like being caught off guard... She beceme the cheerleader of all my dreams...


Am not stupid... Najua kupenda kiasi hiki its a big risk... But najua kuwa its a risk worth taking... Ni kitu ambacho siwezi kuregret kwenye maisha yangu... I love her!! I love her mno..

Japo huwa kila kila siku namuelezaga how unique she is... Lakini huwa natamani kama nifute nyuzi zote humu JF kwa wiki nzima niweke nyuzi yangu moja tu humu isomwe hiyo tu niiambie Tanzania how much nampenda huyu mtoto wallah and kwa kiasi gani yuko unique...

Tunalia pamoja...
Tunafurahi pamoja...
Tunafanikiwa pamoja...


Ofcoz changamoto zipo.. milima na mabonde pamoja... Lakini we fight, we kiss, we make lov...e!! Kila kitu kinakuwa sawa... Tunasonga mbele.!!

Thank you malaika wangu kwa kila kitu... Vile umefanya nijione niko on top of the world... Asante kwa kila kitu unavumilia... And asante for sticking with me mtoto wa kiswazi ingekuwa mwanamke mwingine kwa misele unapigiwa tayari mtoto wa kiswazi ningekuwa nimebaki na machozi now mtoto mzuri ungekuwa umetekwa kwenye maRange Rover, na maBMW... Lakini Cheupe wangu umeridhika na baskeli yangu ya miti unavumilia coz unajua vile mumeo napambana tupate private jet siku moja...


Nitake nini zaidi?? Mungu ni mwema, na amekiwa mwema mno kwangu... Nakupenda sana mkewangu Cheupe..


Soon...
 
Mi nimeelewa tu hapo mnapo make love. Mengine ngoja nimsubiri mkeo ha haa

Kwa maneno yako hayo wacha muendelee kua bora broh,na mbali mtafika
 

Sasa nisingekuchokonoa haya yote ningeyajuaje au tungeyajuaje Mkuu? Pongezi / Kongole zako sana Mkuu. Tupo pamoko.
 

Endelea Kuota tu Mkuu na ukishtuka utatuambia.
 
Hiyo pichaaaaaa,haki nitakupasua! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Anyways,love you more baby.
Kama kila siku nikuambiavyo nakupenda wewe na sio kingine chochote.
I mean hata hiyo baiskeli yako siipendi hahaha,nakupenda wewe kama wewe kichwa.

Asante kwa kunifungulia dunia nyingine ambayo sikuwahi hata kuiota hapo kabla...Naam, I'm in love.
Love you always [emoji8]
 

miss chagga na Wewe yule Babu Mfaransa wako wa Oysterbay huwa unamfungukia hivi kama mwenzako Nifah?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…