Hahaha!! Shemeji naona umetimiza kiapo chako cha kutuchokoza ukiona tuko kimya... [emoji23] [emoji23]
Turudi kwenye mada mezani...
Yani na ujanja wangu wote huu hata mtu akiniulizaga kuna siri gani kati yetu... Huwa sijui nimjibu nini... I just know that
I LOVE HER... I LOVE HER mno mno mno...
Unajua mimi nimekulia uswahilini... Ile uswahili haswa... Mbagala, Mafisa (Moro), Magomeni... Sasa uswahili kuna ile 'dogma' tunaaminishana kwamba siku hizi hakunaga mapenzi ya kweli... Na honestly nimekua nikiamini hivyo....
Lakini kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu nilipokutana na huyu malaika hili tango pori nililolishwa tangu utoto sijui hata lilinitoka muda gani kichwani... It was like being caught off guard... She beceme the cheerleader of all my dreams...
Am not stupid... Najua kupenda kiasi hiki its a big risk... But najua kuwa its a risk worth taking... Ni kitu ambacho siwezi kuregret kwenye maisha yangu... I love her!! I love her mno..
Japo huwa kila kila siku namuelezaga how unique she is... Lakini huwa natamani kama nifute nyuzi zote humu JF kwa wiki nzima niweke nyuzi yangu moja tu humu isomwe hiyo tu niiambie Tanzania how much nampenda huyu mtoto wallah and kwa kiasi gani yuko unique...
Tunalia pamoja...
Tunafurahi pamoja...
Tunafanikiwa pamoja...
Ofcoz changamoto zipo.. milima na mabonde pamoja... Lakini we fight, we kiss, we make lov...e!! Kila kitu kinakuwa sawa... Tunasonga mbele.!!
Thank you malaika wangu kwa kila kitu... Vile umefanya nijione niko on top of the world... Asante kwa kila kitu unavumilia... And asante for sticking with me mtoto wa kiswazi ingekuwa mwanamke mwingine kwa misele unapigiwa tayari mtoto wa kiswazi ningekuwa nimebaki na machozi now mtoto mzuri ungekuwa umetekwa kwenye maRange Rover, na maBMW... Lakini Cheupe wangu umeridhika na baskeli yangu ya miti unavumilia coz unajua vile mumeo napambana tupate private jet siku moja...
Nitake nini zaidi?? Mungu ni mwema, na amekiwa mwema mno kwangu... Nakupenda sana mkewangu Cheupe..
Soon...