Kwanini COVID-19 iliondoa wanaume wengi kuliko wanawake

Kwanini COVID-19 iliondoa wanaume wengi kuliko wanawake

Kuna vitu vingi vinavyofanya kinga ya mwili ya mwanamke na mwanaume ziwe tofauti, hii naisema kwa experience ya kulea watoto wa kiume na wa kike, mahudhurio ya hospitali ukiwa na mtoto wa kiume ni makubwa kuliko kwa mtoto wa kike. By:Ngumbaru

Madaktari wenye taaluma yao watueleze kitaalamu.
 
Hilo ni kosa kubwa kusema kwamba COVID-19 iliondoa wanaume wengi kuliko wanawake. Hakuna ushahidi wa kisayansi unaounga mkono madai haya kwa kiwango kikubwa cha watu wote.
Ebu angalia HAPA

Ingawa kulikuwa na baadhi ya tafiti zilizobainisha kuwa wanaume walikuwa na uwezekano mkubwa wa kupata matatizo makubwa zaidi kutokana na COVID-19, hii haikuwa hali ya jumla kwa nchi zote na makundi yote ya watu.
Cheki video hii HAPA
 
Jana tukiwa tunazika kunduchi nkaonyeshwa makaburi ya waliokufa na COVID

Ni huzuni sana ukiacha matajiri yaani weengi ni wanaume bila kujali dini zao

Tutuubu wanaume
Mpwa hata wagane ni wachache kuliko wajane
 
Wanaume ndio watafutaji bila kujali janga laxima tujichanganye kwa jili ya familia zetu
 
Nasikitika sana covid ilichukua watu muhimu sana katika jamii,huku kwetu nakumbuka wanaume tu

Yaan walikuwa watu wenye mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi na familia zao
 
Jana tukiwa tunazika kunduchi nkaonyeshwa makaburi ya waliokufa na COVID

Ni huzuni sana ukiacha matajiri yaani weengi ni wanaume bila kujali dini zao

Tutuubu wanaume
Sababu:
1: vyakula vya ovyo uko mahotelini,migahawa ukiwa kwenye pilika pilika hivyo immune zako zinashuka sana, ukipigwa na kitu kizito dakika kadhaa chali.
2: stress za wake zao zinashusha immunity system za mwili wa mwanaume bila kujijua, hivyo ukipigwa na kitu kizito dakika chali.
3: wanaume ni watafutaji sana kw ajili ya familia hivyo uko makazini, njiani lazima utakutana na vitu mbalimbali magonjwa ya kuambukizwa n.k
4: Baadhi wa wanawake wametumia njia hiyo kuondoa waume zao wamiliki Mali.
 
Back
Top Bottom