Mpwa hata wagane ni wachache kuliko wajaneJana tukiwa tunazika kunduchi nkaonyeshwa makaburi ya waliokufa na COVID
Ni huzuni sana ukiacha matajiri yaani weengi ni wanaume bila kujali dini zao
Tutuubu wanaume
Kwa upande wangu nyama siachi na kitambi sinaaAcheni kufakamia bia na nyama..mivitambi kama mmemeza vyura...ni magonjwa hayo mnatembea nayo
Sababu:Jana tukiwa tunazika kunduchi nkaonyeshwa makaburi ya waliokufa na COVID
Ni huzuni sana ukiacha matajiri yaani weengi ni wanaume bila kujali dini zao
Tutuubu wanaume