Kwanini daladala hazifiki Kituo cha BRT na Daladala Gerezani?

Kwanini daladala hazifiki Kituo cha BRT na Daladala Gerezani?

ahbsa

New Member
Joined
Aug 14, 2021
Posts
4
Reaction score
3
Habari zenu Ndugu,

Naomba ufafanuzi kidogo maana kuna jambo linasababisha kero na foleni kubwa ndani ya Kariakoo.

Hivi haya madaladala yenye route kama Masaki---Gerezani kwanini yanaishia kariakoo na hayafiki kabisa gerezani?
Je, kuna mpango wa kuyahamishia kituo cha Gerezani?

Kituo hicho kipo tayari? Ikifika jioni ndio wanayalaza kariakoo tena wanafunga na mitaa kabisa. inakuaje wanaachiwa wafanye wanavyotaka?

Naombeni ufafanuzi kidogo wana JF maana hali ishakuwa tete mitaa ya huku.

weekend njema.
 
TULIA MKUU HII NCHI INAENDESHWA KWA MAWAZO YA WATU NA SIO SYSTEM,KILA ANAEINGIA ANAINGIA NA YAKE
 
Back
Top Bottom