chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Ukisikia jina Johnson and Johnson si geni kwa watu ila nitapenda kueleza dawa ambayo ilikuja kuleta matatizo ambayo ni tylenol huko USA.
Ni aina ya kundi la Paracetamol pia inajulikana kama acetaminophen, ni dawa inayotumiwa kutibu homa na maumivu kidogo hadi wastani. Katika kipimo cha kawaida, paracetamol hupungua tu joto la mwili.
Kisa kilianza hapa mwaka 1982 tarehe 28 september siku ya jumatano.
Kisa cha kwanza
Msichana mmoja kwa jina mary kellerman mwenye umri wa miaka 12, siku ya jumatano alikuwa anaijisikia vibaya na kushindwa kwenda shule kwa homa aliyokuwa nayo na kumwambia mama yake. Mama yake alipoona hilo ikabidi kumpatia dawa ya kutuliza maumivu Tylenol. Baada ya mda mary alikwenda chooni na kuanguka. Baba yake alikuwa sebuleni baada kusikia kishindo chooni .kumpeleka hospitali mery alikuwa teyari kasha fariki. Majibu ya daktari wakadai ni stroke!
Kisa cha pili
Bwana adam janus alikuwa mfanyakazi wa posta kusambaza barua mwenye umri wa miaka 27 baada ya uchovu mwingi na homa, kabla ya kulala aliamua kutumia tylenol baada ya mda naye umauti ukamkuta *majibu ya daktari wakadai: alipatwa na mshituko mkubwa wa moyo
Kisa cha tatu
Walipokwenda hospital kaka na mke wake nao walisikitishwa kwa kufariki mdogo wake adam kwa sababu hawana historia ya mdogo wake kuwa na magonjwa ya moyo.
Baada ya kutoka hospital kaka na mke wake, kulingana na uchovu na msongo wa mawazo wote wawili, kila mmoja alimeza dawa ya tylenol ili kupunguza uchovu usiku kutokana na mawazo mpaka vichwa kuuma kwa wakati mmoja.
Kaka wa adamu baada ya mda alianguka, mke wake akapiga simu hospital kuita ambulance [emoji603] ilifika kumchuka kaka wa adamu naye mke wake hali ikawa mbaya na wote kupelekwa hospital.
Baada ya masaa kaka wa adamu na mke wake wote wakafariki kwa mda tofauti.
Jibu la daktari kutoka: gesi ya carbon dioxide ilikuwa nyingi mwilini mwao kupelekea ubongo kushindwa kuwa na hewa ya kutosha.
———
Wakati matukio haya yanatokea kwa siku chache wagonjwa hawa wote walipelekwa hospitali hiyo hiyo.
Sasa daktari bingwa Dr .kim wasiwasi ukaanza kumpata kwa familia ya adam na kaka yake pamoja na mke wake.
Ndipo polisi wakaanza kuchunguza labda kutakuwa na kitu kilichopelekea vifo hivi.
Team ya kuchunguza ilijumuishwa polisi na madaktari ili kupata ukweli baada ya kuchunguza nyumba ya kaka wa adamu hawa kupata chochote.
Kitu walichokuta na kuanza kuwapa mashaka baada ya kukuta makopo tylenol! kuanzia kwa adam na kaka yake.
Majibu ya uchunguzi yalipo kuja na kupelekwa kwa Dr.kim yakaanza kumuumiza kichwa na kuunganisha familia hii kufa kwa vifo vya kushangaza.
Dr kim baada kudodosa kukaampa mashaka sana na kuleza inawezekana kuwa dawa hii ndiyo ilisababisha!
lakini habari zilianza kuzagaa kwa chini huku kampuni ya johnson and johnson ikashtuka kusikia dawa yao inausishwa na hivi vifo vya familia adam.
Wanasema penye wengi pana mengi.wazima moto wawili walikuwa wanawafahamu vizuri sana kaka wa adam na mke wake. Jambo la kushangaza hawa watu waliongea sana kutafakari nini kilichopelekea mpaka wakafa, lakini habari za tetesi kuhusu kwa hizo dawa bado zilikuwa kama usiku wa giza.maana hakuna mwenye jibu.
Wale wazima moto wanaofahamu familia ya kaka wa adamu wakapata jibu kuomba zile dawa zichunguzwe.
Uzuri wa wenzetu kama hawa wazima moto akili zinaweza kuwafanya kujua chanzo cha moto nazani chanzo cha moto wa dawa hii ndio ulikuja kuleta doti na kwenda hospitali ambayo kesi ilikuwepo pale kwenye uchunguzi.
Walipofika kwa Dr.kim nao wakashauri kuangalia hiyo dawa kwanza.
Uchunguzi ukafanyika ukiwa na tume nyengine ambayo sasa zile sampuli za dawa kupelekwa mahabari zaidi ikaonekana kuwa kemikali ya cyanide.
Cyanide ni kemikali ambayo ambayo upunguza oxygen. Sasa baada ya siku huku habari na mambo ya kizidi kutafuta ni nini ndani ya siku tatu vifo vingine vikaongeza kwa kutumia hiyo dawa. Narudia, dawa hii iliamika kwa kutuliva maumivu na kichwa.
————
Tarehe 30 september Dr.kim baada kumaliza uchunguzi wake ndipo halipo thibitisha kuwa ni kweli dawa ya ile inakemikali ya cyanide.
na majibu kupelekwa haraka serikalini.
Kampuni ya johnson and johnson ndipo serikali ikawa taarifu kuwa dawa wanayo zalisha ni hatari.
Wizara ya afya nayo ikafanya kikao na kutoa warning kuhusu dawa hiyo mpaka kwenye vyombo vya habari.
Baada kusambaa kwenye maduka ya dawa kampuni ya johnson and johnson ikastopisha dawa hiyo kuzalisha .
Lakini cha kushangaza kesi hiki ilikuwa ya ajabu sana askari wengi walipotea mpaka kufikia kuwa na mafaili ya uchunguzi 2000 bila kupata majibu nani alitengeneza dawa hii.
Mpaka 2017 kipindi cha miaka 35 hakukuwa na jibu lolote wala kutatuliwa.
Kampuni ya johnson and johnson !