Zungumzia zipi Bora sio Bei!Dawa nyingi zinazozalishwa hapa bongo tulitegemea ziwe bei chini kuliko zile zinazotoka nje lakini mambo ni kinyume chake kabisa.
Mfano wa dawa hiyo ni Azithromycin. Dawa inayotengenezwa Tanzania(Azuma) ina bei ya jumla 2300-2450 kwa pakti moja ya vidonge vitatu. Zingine kutoka India unakuta inauzwa 1500 hadi 2000. Kwanini inakuwa hivyo?
Hili si kwenye dawa tu bali hata cement. Utashangaa Cement kutoka Pakistan bei ni nusu ya ile inayotengenezwa hapa. Kwa mtindo huo tunaweza kufanya biashara ya kuexport kweli?
Kwanini vitu vinavyotengenezwa hapa bongo bei ipo juu sana?
Likely reasons:-Dawa nyingi zinazozalishwa hapa bongo tulitegemea ziwe bei chini kuliko zile zinazotoka nje lakini mambo ni kinyume chake kabisa.
Mfano wa dawa hiyo ni Azithromycin. Dawa inayotengenezwa Tanzania(Azuma) ina bei ya jumla 2300-2450 kwa pakti moja ya vidonge vitatu. Zingine kutoka India unakuta inauzwa 1500 hadi 2000. Kwanini inakuwa hivyo?
Hili si kwenye dawa tu bali hata cement. Utashangaa Cement kutoka Pakistan bei ni nusu ya ile inayotengenezwa hapa. Kwa mtindo huo tunaweza kufanya biashara ya kuexport kweli?
Kwanini vitu vinavyotengenezwa hapa bongo bei ipo juu sana?
Hata sukari mkuu, hata mafuta ya kupikia hata vibuaDawa nyingi zinazozalishwa hapa bongo tulitegemea ziwe bei chini kuliko zile zinazotoka nje lakini mambo ni kinyume chake kabisa.