matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kama nitakosea nisahihishwe, niliwahi kumsikia Kitila Mkumbo enzi hizo Katibu wa Wizara akisema maji yaliyopo ni mengi kuliko uhitaji wake kwa watu wa DSM.
Kwa sababu mabomba yamefikia wachache tu kwa maji hayo mengi nilitarajia yawe yanatoka kila siku saa 24 huku ambapo pameunganishwa. Wakati wa hayati JPM mtaani kwa mara ya kwanza yalivutwa na kuanza kutoka angalau mara 3 kwa wiki. Baada ya kufariki dunia yule Mkuu, hakuna formula. Mara moja kwa mwezi wakijitahidi kwa wiki tena saa kadhaa tu.
Kwa sababu hii ni shida ya muda wote hasa kwa maeneo tunayoishi tusio na ushawishi kisiasa. Nataka kujifunza hawa jamaa huwa wanatoa sababu gani za kitaalam.?