Eti kuchakata, kupiga shoo... shetani ni mbaya sana, ndio sababu ninapoandika jina lake naanza kwa herufi ndogo maana hastahili kabisa kupewa heshima. Anawapotosha mamilioni ya watu dunianiKuna kupiga nyeto, kubanjua, kuchakata, kupiga shoo, vipi hapo mjuba unasemaje?
Kuiba kura je?Siku hizi kuna dhambi nyingi zilizopachikwa majina mazuri au ya kisasa. Kwanini? Hii ni hila ya shetani ya kuzipunguzia uzito au kuzipa uhalali katika jamii. Kwa njia hiyo shetani anawafanya watu waone kuwa dhambi ni kitu cha kawaida, cha kuvutia, au cha kupendeza na hivyo wanavutwa kutenda dhambi bila kuona haja ya kutubu. Hatimaye waangamie milele bila kujua.
Hizi hapa ni baadhi ya dhambi zilizopewa majina mazuri ya "kistaarabu" au "ya kisasa" kiasi kwamba wanaozifanya badala ya kujuta wanazifurahia:
1. Uzinzi/Zinaa → “Mapenzi/Mahusiano"
Uzinzi umepachikwa jina jipya kuwa ni mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo majina hayo mapya hayaufanyi uzinzi kuwa halali. Amri ya Mungu iko palepale: usizini(Kutoka 20:14) na wazinzi hawataurithi ufalme wa Mungu.
2. Kutoa mimba(kuua) → “Afya ya uzazi”
Kutoa mimba hujulikana kama afya ya uzazi au uhuru wa mwanamke, lakini ni kuua uhai usio na hatia. Amri ya Mungu ya usiue (Kutoka 20:13) haiwezi kubadilishwa na jina hilo jipya.
3. Ushoga na usagaji → “Mapenzi ya jinsia moja”/“Orientation”
Uovu huu unaofanywa kinyume na maumbile unajulikana sana kama love is love. Mashoga Mungu anawaona. Tubuni uovu wenu (Warumi 1:26–27)
4. Ulevi → “Kunywa kilauri”/“Kupiga Tungi"/"Ku-chill”
Ulevi umepewa majina yanayokifanya kilevi kionekane kuwa ni burudani, kumbe ni dhambi itakayowapeleka watu wengi jehanam (1 Wakorintho 6:9–10)
5. Uongo → “Chai"/"Kupiga Kiswahili”
Uongo huonekana kama maneno ya hekima ya kujiokoa katika hatari, lakini ni mtego unaowanasa watu dhambini.(Ufunuo 21:8)
6. Wizi → “Kupiga dili”/“Kusogeza”
Mtu anajua kuiba ni dhambi lakini anasema anachukua chake mapema (Kutoka 20:15)
7. Uchawi → “Nguvu za asili”
Mtu anamloga mwenzake lakini anasema amempiga matukio! (Kumbukumbu 18:10–12)
8. Kiburi → “Kuji-brand”/“Self-confidence”
Kiburi hufichwa katika jina la kujiamini, lakini ni chanzo cha anguko (Luka 14:11)
9. Usengenyaji na fitina → “Udaku”/“Kupiga mdomo”
Kumchafua mtu kwa ulimi, kumebatizwa kuwa ni kupiga story (Wagalatia 5:19–21)
“Ole wao wausemao uovu kuwa mema...” (Isaya 5:20)
Shetani ana hila nyingi. Anawashawishi watu wazivalishe dhambi suti, ili waendelee kuzivaa na kujiona kuwa wako safi kumbe dhambi hizo zinawapeleka upotevuni.
Dhambi ni dhambi. Let us call a spade a spade. Ukiita pombe "kinywaji" bado ni sumu tu, itakuua. Ukiuita uzinzi “mapenzi,” bado tu unavunja amri ya Mungu.
Tushtuke kiroho. Tusikubali dhamiri zetu zipumbazwe na majina mapya ya dhambi. Tuitaje dhambi kwa jina lake halisi, ili tuikimbie na kutubu, tusamehewe.
Labda ukisoma uzi huu itakusaidia kujua kuwa shetani na mapepo yake na wasaidizi wake(wachawi) wapoJe, unaweza kuthibitisha uwepo wa huyo shetani unayemsema?
“Dhambi” ni neno la kiroho, lakini hata katika maadili ya kawaida, kuna kitu kinaitwa “kosa” au wrongdoing:Hayo uliyo orodhesha ni opinions na mitazamo ya binadamu jinsi alivyomezeshwa na kuaminishwa. Unaweza kuthibitisha uwepo wa dhambi?
Laana.....Mshangazi....kwenda chumviniNi dhambi gani nyingine unazozifahamu zilizopewa majina mazuri kiasi kwamba zinaonekana sio dhambi katika jamii? Karibu utujuze.
Kwanini upunguze ukali wa maneno? Hiyo ni dalili ya wazi kwamba dhamiri yako inakushtaki, kwamba unachoenda kufanya ni dhambi.Majina ni kupunguza ukali wa maneno siyo kupoza hicho unachokiita dhambi.
Badala ya kumwambia mwanamke twende nikut..be, unaweza kusema twende nikubanjue/kudinye vyovyote ili ujumbe ufike tu.
Unaona hapo unapunguza ukali wa maneno siyo tendo.
Hapana kupunguza ukali wa maneno au kuyabadirisha siyo kiashiria kwamba unachoenda kufanya ni dhambi.Kwanini upunguze ukali wa maneno? Hiyo ni dalili ya wazi kwamba dhamiri yako inakushtaki, kwamba unachoenda kufanya ni dhambi.
There is NO MAN Dead or Alive that has not fall short from the Glory of God. For All have sinned. The only perfect being to step on earth IS and Was Our Lord and Saviour Jesus Christ. Unapologetically! This world has so many truths and narratives but there can only be 1 Truth!Siku hizi kuna dhambi nyingi zilizopachikwa majina mazuri au ya kisasa. Kwanini? Hii ni hila ya shetani ya kuzipunguzia uzito au kuzipa uhalali katika jamii. Kwa njia hiyo shetani anawafanya watu waone kuwa dhambi ni kitu cha kawaida, cha kuvutia, au cha kupendeza na hivyo wanavutwa kutenda dhambi bila kuona haja ya kutubu. Hatimaye waangamie milele bila kujua.
Hizi hapa ni baadhi ya dhambi zilizopewa majina mazuri ya "kistaarabu" au "ya kisasa" kiasi kwamba wanaozifanya badala ya kujuta wanazifurahia:
1. Uzinzi/Zinaa → “Mapenzi/Mahusiano"
Uzinzi umepachikwa jina jipya kuwa ni mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo majina hayo mapya hayaufanyi uzinzi kuwa halali. Amri ya Mungu iko palepale: usizini(Kutoka 20:14) na wazinzi hawataurithi ufalme wa Mungu.
2. Kutoa mimba(kuua) → “Afya ya uzazi”
Kutoa mimba hujulikana kama afya ya uzazi au uhuru wa mwanamke, lakini ni kuua uhai usio na hatia. Amri ya Mungu ya usiue (Kutoka 20:13) haiwezi kubadilishwa na jina hilo jipya.
3. Ushoga na usagaji → “Mapenzi ya jinsia moja”/“Orientation”
Uovu huu unaofanywa kinyume na maumbile unajulikana sana kama love is love. Mashoga Mungu anawaona. Tubuni uovu wenu (Warumi 1:26–27)
4. Ulevi → “Kunywa kilauri”/“Kupiga Tungi"/"Ku-chill”
Ulevi umepewa majina yanayokifanya kilevi kionekane kuwa ni burudani, kumbe ni dhambi itakayowapeleka watu wengi jehanam (1 Wakorintho 6:9–10)
5. Uongo → “Chai"/"Kupiga Kiswahili”
Uongo huonekana kama maneno ya hekima ya kujiokoa katika hatari, lakini ni mtego unaowanasa watu dhambini.(Ufunuo 21:8)
6. Wizi → “Kupiga dili”/“Kusogeza”
Mtu anajua kuiba ni dhambi lakini anasema anachukua chake mapema (Kutoka 20:15)
7. Uchawi → “Nguvu za asili”
Mtu anamloga mwenzake lakini anasema amempiga matukio! (Kumbukumbu 18:10–12)
8. Kiburi → “Kuji-brand”/“Self-confidence”
Kiburi hufichwa katika jina la kujiamini, lakini ni chanzo cha anguko (Luka 14:11)
9. Usengenyaji na fitina → “Udaku”/“Kupiga mdomo”
Kumchafua mtu kwa ulimi, kumebatizwa kuwa ni kupiga story (Wagalatia 5:19–21)
“Ole wao wausemao uovu kuwa mema...” (Isaya 5:20)
Shetani ana hila nyingi. Anawashawishi watu wazivalishe dhambi suti, ili waendelee kuzivaa na kujiona kuwa wako safi kumbe dhambi hizo zinawapeleka upotevuni.
Dhambi ni dhambi. Let us call a spade a spade. Ukiita pombe "kinywaji" bado ni sumu tu, itakuua. Ukiuita uzinzi “mapenzi,” bado tu unavunja amri ya Mungu.
Tushtuke kiroho. Tusikubali dhamiri zetu zipumbazwe na majina mapya ya dhambi. Tuitaje dhambi kwa jina lake halisi, ili tuikimbie na kutubu, tusamehewe.
There is NO MAN Dead or Alive that has not fall short from the Glory of God. For All have sinned. The only perfect being to step on earth IS and Was Our Lord and Saviour Jesus Christ. Unapologetically! This world has so many truths and narratives but there can only be 1 Truth!
You relax on a bus, not knowing the driver. You relax on a plane, not knowing the pilot. Why not relax in life knowing God is in control. Whyyyy??Yes, all have sinned, but God calls us to holiness
- Romans 3:23 says all have sinned, but the story doesn’t end there. God does not want us to stay in sin. Through Christ, we are given the Holy Spirit who enables us to live a righteous life.
- Saying “the only perfect being to step on earth IS and Was Our Lord and Savior Jesus Chris” can become an excuse to continue sinning, but Scripture commands us, “Be holy, for I am holy” (1 Peter 1:16).
Kutoa mimba ....Afya ya uzazi, ya wapi hii?!10. Kujichua (punyeto) → “Self-love”/“kujielewa kimwili”
Wanaopiga punyeto hujitetea kwamba wanafanya self love, lakini kujichua ni uchafu wa kimwili na kiroho. Huku ni kujinajisi, siyo kujipenda.(1 Wakorintho 6:18–20). Angalia jinsi mtu huyu alivyopata kipigo kwa sababu ya kupiga punyeto
Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)
Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa...www.jamiiforums.com
I know God is in control, like a pilot or driver. But that doesn’t give us an excuse to be careless with our lives. Trusting Him means walking in obedience, striving for holiness, and not using His grace as a license to sin. God’s plan works best through a life lived righteouslyYou relax on a bus, not knowing the driver. You relax on a plane, not knowing the pilot. Why not relax in life knowing God is in control. Whyyyy??