Kwanini dhamiri yako haikusuti kwa hayo unayoyafanya?

Kwanini dhamiri yako haikusuti kwa hayo unayoyafanya?

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
727
Reaction score
2,421
Habari wapendwa,

Kwanini mtu na akili yake anaenda kufanya uzinzi, uasherati, kuiba, kufanya kila uchafu wa kila namna, huku dhamiri yake haimshuhudii kuwa hayo anayoyafanya mwisho wake ni kutupwa kwenye ziwa la moto na hakutakuwa na second chance? Kwanini mnacheza na umilele wenu ndugu zangu?

Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Ufunuo 21:8

sddefault.jpg
 
Ni mtu anakosa hofu ya Mungu ndani yake..

Hofu ya Mungu ipo kwa wamuaminio yaani waliokoka...

Hao ndio wanahofu ya kutenda dhambi, na wakitenda wanapata shida Rohoni, amani inatoweka...

Wanaomba Toba na Rehema na kuwa wapya Tena...
 
Back
Top Bottom