Kwanini Diamond hashiriki Fiesta?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Ni kwamba ni mkubwa kuliko tamasha la Fiesta au kuna mikataba inamfunga? Tokea mwaka jana hajashiriki tamasha hili.
 
Anajitambua thamani yake pili huko nyuma alikuwa anafungwa na mikataba MF.alikuwa balozi Wa Voda halafu fiesta ni Tigo ila mwaka huu (2017)kasema atashiriki japo si mikoa yote stay tuned!!!,....hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mara papu.....chibu huyu hapa.
 
utamlipa wewe hayo mamilioni anayotaka???
wasafi haingii msanii mmojammoja bali kama kampuni, na wanatoa mtu mmoja tu au wawili wanaenda kuwakilisha kampuni nzima.... So kumuona Mavoko fiesta ni sawa na kumwona Mond maana ataimba nyimbo zote za wasafi
 
Bajeti ya fiesta kwa wcb hawaiwezi, wale wanachaj pesa ndefu sana. Na ndio maana licha ya diamond kubanwa na mkataba bado inawawia vigumu kwa clouds kuwasajili mavoko rayvanny na harmonize kwa pamoja, wanachofanya wanachukua mmoja mmoja tu.
Nimedokezwa kuwa hakuna msanii yeyote wa fiesta analipwa zaidi ya msanii wa wcb i mean hakuna yaani vanny boy katika fiesta anakula ndefu kuliko kiba au jux au benpaul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…