Kwanini Diamond hashiriki Fiesta?

Kwanini Diamond hashiriki Fiesta?

utamlipa wewe hayo mamilioni anayotaka???
wasafi haingii msanii mmojammoja bali kama kampuni, na wanatoa mtu mmoja tu au wawili wanaenda kuwakilisha kampuni nzima.... So kumuona Mavoko fiesta ni sawa na kumwona Mond maana ataimba nyimbo zote za wasafi

Kwa anajitambua thaman yake, anafungwa na mikata au atashiriki badae?
 
sijui kama mkataba wake na vodacom unamfunga ashijihusishe na mitandao mengine au la,

Sasa hapo kwenye kujitambua ndio sijaelewa, maana umesema anajitambua ( kwa maana wanaoshiriki wote hawajitambui) sasa iweje tena useme atashiriki badae?
 
Sasa hapo kwenye kujitambua ndio sijaelewa, maana umesema anajitambua ( kwa maana wanaoshiriki wote hawajitambui) sasa iweje tena useme atashiriki badae?
daa mkuu ni kwamba kiswahili nilichoandika ni kigumu mpaka nitumie lugha nyingine, au utakuwa ume- missread , hakuna sehemu nimeandika kuwa "anajitambua" sijui hilo neno umelitoa wapi, hebu soma upya
 
utamlipa wewe hayo mamilioni anayotaka???
wasafi haingii msanii mmojammoja bali kama kampuni, na wanatoa mtu mmoja tu au wawili wanaenda kuwakilisha kampuni nzima.... So kumuona Mavoko fiesta ni sawa na kumwona Mond maana ataimba nyimbo zote za wasafi
kwa jibu lako sentensi ya kwanza pasi na shaka Kichwa chako kimejaa siafu.
 
Mbona alijibu juzi kwene kipindi cha leo tena cha clouds......alisema mwaka huu atakuwepo na tatizo linalofanya wasishiriki wasanii wote wa wcb kwa pamoja ni budget ya mjengoni haitaenda sawa kama watawachukua wote thus y ata akina vanny wanaenda mmoja mmoja
 
Anampa dem wake lak5 kwa wik,akafanye show alipwe mil2,amlipe iyobo na wenzie si imeshaisha,..hzo posho za fiesta kamwachia ali k
 
Back
Top Bottom