Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
utamlipa wewe hayo mamilioni anayotaka???
wasafi haingii msanii mmojammoja bali kama kampuni, na wanatoa mtu mmoja tu au wawili wanaenda kuwakilisha kampuni nzima.... So kumuona Mavoko fiesta ni sawa na kumwona Mond maana ataimba nyimbo zote za wasafi
sijui kama mkataba wake na vodacom unamfunga ashijihusishe na mitandao mengine au la,Kwa anajitambua thaman yake, anafungwa na mikata au atashiriki badae?
sijui kama mkataba wake na vodacom unamfunga ashijihusishe na mitandao mengine au la,
Ha ha ha ha.Mkuu naona alikuwa anataka maelezo hapo maana mkuu nakukubali sana we ni shabiki wa damu wa huyo jamaa.
We ni balozi wa huyo jamaa kwa jf nzima.
hahahahah, safi sanaHawana hela ya kumlipa.
daa mkuu ni kwamba kiswahili nilichoandika ni kigumu mpaka nitumie lugha nyingine, au utakuwa ume- missread , hakuna sehemu nimeandika kuwa "anajitambua" sijui hilo neno umelitoa wapi, hebu soma upyaSasa hapo kwenye kujitambua ndio sijaelewa, maana umesema anajitambua ( kwa maana wanaoshiriki wote hawajitambui) sasa iweje tena useme atashiriki badae?
kwa jibu lako sentensi ya kwanza pasi na shaka Kichwa chako kimejaa siafu.utamlipa wewe hayo mamilioni anayotaka???
wasafi haingii msanii mmojammoja bali kama kampuni, na wanatoa mtu mmoja tu au wawili wanaenda kuwakilisha kampuni nzima.... So kumuona Mavoko fiesta ni sawa na kumwona Mond maana ataimba nyimbo zote za wasafi
Hahahahah...Amekatazwa kushiriki na hamisa mabeto ( mfano wa comment za wanaume wa dar)