KWANINI Diamond na sio msanii mwingine? Maazimisho miaka 36 ya CCM

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
maazimisho ya miaka36 ya ccm kigoma..kikwete anamaliza hotuba na kumkaribisha diamond kupafomu
tukubali tu kijana yuko juu..kwa nn mikusanyiko ya kiserikari huchaguliwa diamond na c msanii mwingine wakat wapo maelfu
 
Ulikuwa unataka kusema nini!! kwahiyo na TOT Plus wako juu siyo? wewe unashangaa Diamond kualikwa kukata viuno kwa nini usishangae mpiga picha Michuzi kuzurura na Rais Dunia nzima wakati Ikulu inampiga picha wake Fred Maro?

Kikwete ni Msanii kama anamualika msanii mwenzake kuna ubaya gani? unashangaa kumualika Kigoma wakati alimpeleka mpaka Marekani kwenda kukata mauno!!
 
Mbona dokii yupo?? Au na yeye sio msanii??
 
ukitaka kula chura unachagua aliyenona. Hivyo basi usione ajabu maana yeye kwa sasa ndo mwanamziki anayevuma zaidi we ulitaka aitwe saida karoli
 
tanzania
nchi yenye watu wenye chuki za kijnga kuliko wote africa
 
Mpewa hapokonyeki,alie pewa kapewa kwa sasa ni yeye kesho sijui atakua nani....
 
nida'nganye da'nganye tu ukiniambia ukweli wa rasilimali nitaumia.
 
mkuu ulitaka wamchukue msanii 2 proud aka mr 2 sugu nini?
 
Sasa unawapangia wakumpa show?
 
nachoona huyo Diamond ana upungufu wa akili, hata kama anatafuta pesa ts better akaitafuta kwa njia halali na si kupitia ccm inawezekana hajui kabisa kama kuna watz wanapata shida sana miaka yote hiyo ambayo ccm ipo. angelijua hili asingeimba ujinga.
 
maazimisho ya miaka36 ya ccm kigoma..kikwete anamaliza hotuba na kumkaribisha diamond kupafomu
tukubali tu kijana yuko juu..kwa nn mikusanyiko ya kiserikari huchaguliwa diamond na c msanii mwingine wakat wapo maelfu
roma mkatoliki hakuwepo?
 
kikwete ni promoter wa Diamond kwa kumbukumbu zangu aliwahi kumtafutia mwaliko wa kwenda uk..hata ujio wa 50cent kikwete anamchango mkubwa sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…