danali
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,135
- 1,674
Aiseee....!!!hapana, wewe ndio unaliwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee....!!!hapana, wewe ndio unaliwa!
nachoona huyo Diamond ana upungufu wa akili, hata kama anatafuta pesa ts better akaitafuta kwa njia halali na si kupitia ccm inawezekana hajui kabisa kama kuna watz wanapata shida sana miaka yote hiyo ambayo ccm ipo. angelijua hili asingeimba ujinga.
ukikata mauno ndio chakula cha wakubwa? Shakila alivyokata mauno kwenye sherehe zilizoandaliwa na bush kipindi kile ni chakula cha wakubwa?chakula ya wakubwa.haukumuona anavyo kata mauno pale jukwaani.