KWANINI Diamond na sio msanii mwingine? Maazimisho miaka 36 ya CCM

KWANINI Diamond na sio msanii mwingine? Maazimisho miaka 36 ya CCM

nachoona huyo Diamond ana upungufu wa akili, hata kama anatafuta pesa ts better akaitafuta kwa njia halali na si kupitia ccm inawezekana hajui kabisa kama kuna watz wanapata shida sana miaka yote hiyo ambayo ccm ipo. angelijua hili asingeimba ujinga.

nadhani yeye yupo kazini hivyo it doesnt matter whether you like or hate ccm yeye yupo kuingiza siku yake.
 
chakula ya wakubwa.haukumuona anavyo kata mauno pale jukwaani.
ukikata mauno ndio chakula cha wakubwa? Shakila alivyokata mauno kwenye sherehe zilizoandaliwa na bush kipindi kile ni chakula cha wakubwa?

 
Hiyo ndiyo Career yake kama ww fundi seremala nenda kachonge vitanda,kama wewe mpishi kachome sambusa,kama wewe Mwizi nenda kaibe.Very simple 7b kila mtu ana nafasi na kile anachoweza SIYO KUMTUKANA MSANII eti chakula cha wakubwa 7b tuu kuitwa kutumbuiza
 
Back
Top Bottom