Kwanini Diamond na Zari wanashirikiana bodigadi mmoja? Ni uwezo Mdogo?

wewe una hata kimbao mbao anaekulinda?
 
Fanya yako mjomba hayo ni maisha yao wanajua wao , na wanajua wafanye nini kwa mda gani,?? Nadhani na wewe Fanya tu yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unao wangapi?
 
WEWE UNA MBWA WA KUKULINDA NYUMBANI.ACHA USHAMBA!! DIAMOND ULIKUWA UNAMLINDA WEWE ALIPOKUWA SAFARINI.BODYGUARD WA ALLY KIBA NI OMMY DIMPOS AU!!
 
Labda ni kwa sababu atakayetaka kumdhuru Zari ni adui wa Diamond.
 
Ungemtumia mond private SMS.
Manake hata tukisema yetu haitamsaidia kwa sababu haoni yeye kinachoendelea humu.
 
Unachekesha kwl angalau wao wana huyo mmoja wewe kinakuwashia ? Wivu mbaya jaman wakiwa na bodyguard shida...wakiwa nae shida hapo wangeweka wawili ungesikia wanachezea pesa pambana na hali yako mkuu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…