Kwanini Diamond na Zari wanashirikiana bodigadi mmoja? Ni uwezo Mdogo?

Inafahamika kuwa Zari ni mwanamke bilionea mkubwa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla lakini cha kushangaza hana bodigadi badala yake bodigadi anayetumiwa na Diamond ndio huyohuyo anatumiwa na Zari! Hii si picha nzuri. Ni bora kama hana uwezo Wa kumudu gharama za kulipia Mlinzi bora atembee hivohivo tu!

Sijui Huyo mwarabu akitembea na Zari au Mond wakati huohuo Mond au Zari atakuwa na na mlinzi yupi
wewe una hata kimbao mbao anaekulinda?
 
Fanya yako mjomba hayo ni maisha yao wanajua wao , na wanajua wafanye nini kwa mda gani,?? Nadhani na wewe Fanya tu yako
 
Inafahamika kuwa Zari ni mwanamke bilionea mkubwa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla lakini cha kushangaza hana bodigadi badala yake bodigadi anayetumiwa na Diamond ndio huyohuyo anatumiwa na Zari! Hii si picha nzuri. Ni bora kama hana uwezo Wa kumudu gharama za kulipia Mlinzi bora atembee hivohivo tu!

Sijui Huyo mwarabu akitembea na Zari au Mond wakati huohuo Mond au Zari atakuwa na na mlinzi yupi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unao wangapi?
 
Inafahamika kuwa Zari ni mwanamke bilionea mkubwa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla lakini cha kushangaza hana bodigadi badala yake bodigadi anayetumiwa na Diamond ndio huyohuyo anatumiwa na Zari! Hii si picha nzuri. Ni bora kama hana uwezo Wa kumudu gharama za kulipia Mlinzi bora atembee hivohivo tu!

Sijui Huyo mwarabu akitembea na Zari au Mond wakati huohuo Mond au Zari atakuwa na na mlinzi yupi
WEWE UNA MBWA WA KUKULINDA NYUMBANI.ACHA USHAMBA!! DIAMOND ULIKUWA UNAMLINDA WEWE ALIPOKUWA SAFARINI.BODYGUARD WA ALLY KIBA NI OMMY DIMPOS AU!!
 
Labda ni kwa sababu atakayetaka kumdhuru Zari ni adui wa Diamond.
 
Inafahamika kuwa Zari ni mwanamke bilionea mkubwa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla lakini cha kushangaza hana bodigadi badala yake bodigadi anayetumiwa na Diamond ndio huyohuyo anatumiwa na Zari! Hii si picha nzuri. Ni bora kama hana uwezo Wa kumudu gharama za kulipia Mlinzi bora atembee hivohivo tu!

Sijui Huyo mwarabu akitembea na Zari au Mond wakati huohuo Mond au Zari atakuwa na na mlinzi yupi
Ungemtumia mond private SMS.
Manake hata tukisema yetu haitamsaidia kwa sababu haoni yeye kinachoendelea humu.
 
Unachekesha kwl angalau wao wana huyo mmoja wewe kinakuwashia ? Wivu mbaya jaman wakiwa na bodyguard shida...wakiwa nae shida hapo wangeweka wawili ungesikia wanachezea pesa pambana na hali yako mkuu ...
 
Back
Top Bottom