Kwanini Diamond na Zari wanashirikiana bodigadi mmoja? Ni uwezo Mdogo?

Kwanini Diamond na Zari wanashirikiana bodigadi mmoja? Ni uwezo Mdogo?

Hata huyo mmoja hakukuwa na sababu ya kuwa naye. Bilionea Bill Gate kaja Tz na kazunguka sehemu kibao lakini hakuwa na Baunsa hata mmoja wa kumlinda.
 
Mnaomwambia mwandishi wa mada apambane na Hall yake mkiendelea kucomment ni km mnamsaidia kupambana na hali yake coz huu uzi wake ndo hali yake
 
Back
Top Bottom