Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa wasafi la sivyo huwezi sikia diamond kawa invited kwenye event yeyote ile. Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni diamond platnumz tu. Akifanya kosa kidogo tu watamsema vibaya lakini wasanii wengine kama kiba ommy dimpoz watavungiwa wakikosea. Why is this
Kajitenga
Haya.Nakataa
Haya.
Basi sawa.Wenzie wanamuona sio type yao na wanajua wakimwalika yeye ndio atakuwa kivutio pale
Nani amualike atuimbie upuuzi wake ati "...inama chuma mchicha nikukamulie mafuta..."puuuu!!!! Laana tupuNi dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa wasafi la sivyo huwezi sikia diamond kawa invited kwenye event yeyote ile.
Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa wasafi la sivyo huwezi sikia diamond kawa invited kwenye event yeyote ile. Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni diamond platnumz tu. Akifanya kosa kidogo tu watamsema vibaya lakini wasanii wengine kama kiba ommy dimpoz watavungiwa wakikosea. Why is this
Mjadala ungeishia hapa huyu jamaa hata kama humkubali utapenda tu kazi yake utake usitake!!Ni wivu tu,ipo hv "people fear what they don't understand,hate what they can't conquer"
Diamond amebadilisha status quo ya game la muziki,wale walifikiri ndio wanastahili kuwa ma don wa game,hawaelewi imewezekana VP kijana wa Tandale ameweza kuwa music Mogul, tycoon wa bongofleva.
Billionaire wa music game!
Kijana ana pesa ndeefe,sasa wale waliokuwa wanaojiona wapo juu kstk industry kutokana na nafasi zao,ama watangazaji,au wamiriki wa vyombo vya habari,wamekuja kushituka kwamba mond haitaji kuwapigia magoti Ili kupata airtime,maana hata yeye anamiriki kituo Cha redio na tv,
Sasa hapo chuki inakuwa kubwa,wanaona wakimkaeibisha atazidi kuwa tajiri,lakini kumbe tayari ni tajiri,sasa hapo wanabski kwenye dilema.
Kingine,Mond dau lake kubwa,yeye ni brand,na Kuna bidhaa anazitangsza,sasa hawezi kwenda kwenye tukio linalodhaminiwa na bidhaa kinzani na ile anayoiwakilisha.
Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe, sasa Kiba na Dimpoz kwa lipi wawe na haters.Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa wasafi la sivyo huwezi sikia diamond kawa invited kwenye event yeyote ile. Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni diamond platnumz tu. Akifanya kosa kidogo tu watamsema vibaya lakini wasanii wengine kama kiba ommy dimpoz watavungiwa wakikosea. Why is this
Nina nashaka kama akili zako ziko sawaNi dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa wasafi la sivyo huwezi sikia diamond kawa invited kwenye event yeyote ile. Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni diamond platnumz tu. Akifanya kosa kidogo tu watamsema vibaya lakini wasanii wengine kama kiba ommy dimpoz watavungiwa wakikosea. Why is this
Hii post imetoa majibu yote ya maswali ya mleta uzi.Ni wivu tu,ipo hv "people fear what they don't understand,hate what they can't conquer"