Kwanini Diamond Platnumz️ anatengwa na wadau kwenye ulimwengu wa muziki?

Kwa Barnaba na jux, hao kiba na harmo walialikwa? Mimi naongelea sehemu ambazo mtu kapewa mualiko na hajaenda huwezi jipeleka sehemu hujaalikwa.
 
Majukumu boss. Sio kila eneo mtu utaenda.
He is a brand. Jay z ana maeneo yake, prezzo, AKA worldwide, chameleon sio kila mualiko mtu utaenda. Na kuongelea mnamuongelea nyie mnaoona mitandaoni. Maisha ya kawaida wenyewe wanaelewana.
 
Kwa Barnaba na jux, hao kiba na harmo walialikwa? Mimi naongelea sehemu ambazo mtu kapewa mualiko na hajaenda huwezi jipeleka sehemu hujaalikwa.
Duu kama hujui kwenye album ya barnaba kuna nyimbo kafanya na Kiba na ule uzinduzi wasanii wote waliokuwa kwenye album yake walialikwa na Harmonize alikwa na Barnaba.

Kwa Jux Kiba alialikwa ila Harmo hakualikwa sababu tu Jux kuna kipindi alimmaind Harmo kwa kumweka ktk shortlist ya wasanii watakao perform kwenye show yake ya Afro East Festival bila kumwambia mwenyewe Jux.
 
Ni wivu tu,ipo hv "people fear what they don't understand,hate what they can't conquer"
Diamond amebadilisha status quo ya game la muziki,wale walifikiri ndio wanastahili kuwa ma don wa game,hawaelewi imewezekana VP kijana wa Tandale ameweza kuwa music Mogul, tycoon wa bongofleva.
Billionaire wa music game!
Kijana ana pesa ndeefe,sasa wale waliokuwa wanaojiona wapo juu kstk industry kutokana na nafasi zao,ama watangazaji,au wamiriki wa vyombo vya habari,wamekuja kushituka kwamba mond haitaji kuwapigia magoti Ili kupata airtime,maana hata yeye anamiriki kituo Cha redio na tv,
Sasa hapo chuki inakuwa kubwa,wanaona wakimkaeibisha atazidi kuwa tajiri,lakini kumbe tayari ni tajiri,sasa hapo wanabski kwenye dilema.
Kingine,Mond dau lake kubwa,yeye ni brand,na Kuna bidhaa anazitangsza,sasa hawezi kwenda kwenye tukio linalodhaminiwa na bidhaa kinzani na ile anayoiwakilisha.
Kwamba hao wengine wote ndio wenye tatizo? Kwamba kwa upande wa diamond mwenyewe hana tatizo lolote? Hapa kuna namna mbili either hao watu wanamchukia diamond kwa mafanikio yake au diamond mwenyewe kajitenga kwa kufikiria apendwi kwa sababu ya mafanikio yake yaani hata akifanyiwa kosa la kibinadamu tu anajua vigisu hizi
 
Nani amualike atuimbie upuuzi wake ati "...inama chuma mchicha nikukamulie mafuta..."puuuu!!!! Laana tupu
Inasikitisha sana ndo miziki inayopendwa na vijana sasa hivi.. ukitaka ngoma yako itrend we sifia pombe au ngono.. kuna song la furaha kulewa na marafiki umehit kwa sababu ya kusifia ulevi tu ila hauna maajabu yoyote, shetani amepita hakuna chochote mule vijana wanaluka nao tu kwa sababu kuna mistari ya kuamasisha pombe na ngono
 
Kujikweza hua kunatufanya tuone wengine ni zeroo! Mungu niepushie ujivuni.
 
kitaka ngoma yako itrend we sifia pombe au ngono.. kuna song la furaha kulewa na marafiki umehit kwa sababu ya kusifia ulevi tu ila hauna maajabu yoyote
Tutakuwa kama DRC waliwekeza kwenye music huku madini yanasombwa
 
Ni wivu tu,ipo hv "people fear what they don't understand,hate what they can't conquer"
Diamond amebadilisha status quo ya game la muziki,wale walifikiri ndio wanastahili kuwa ma don wa game,hawaelewi imewezekana VP kijana wa Tandale ameweza kuwa music Mogul, tycoon wa bongofleva.
Billionaire wa music game!
Kijana ana pesa ndeefe,sasa wale waliokuwa wanaojiona wapo juu kstk industry kutokana na nafasi zao,ama watangazaji,au wamiriki wa vyombo vya habari,wamekuja kushituka kwamba mond haitaji kuwapigia magoti Ili kupata airtime,maana hata yeye anamiriki kituo Cha redio na tv,
Sasa hapo chuki inakuwa kubwa,wanaona wakimkaeibisha atazidi kuwa tajiri,lakini kumbe tayari ni tajiri,sasa hapo wanabski kwenye dilema.
Kingine,Mond dau lake kubwa,yeye ni brand,na Kuna bidhaa anazitangsza,sasa hawezi kwenda kwenye tukio linalodhaminiwa na bidhaa kinzani na ile anayoiwakilisha.
Ahsante umemaliza kazi.
 
Sijawah ona mim kila nikiangalia mziki
Zinapigwa, otherwise ambavyo huwa wanajinasibu na kauli ya 'hii ni yetu sote' wanadau wangeshawaumbua.
Hawawezi kurudia makosa yaliyofanywa na media zilizowatangulia.
 
Ni wivu tu,ipo hv "people fear what they don't understand,hate what they can't conquer"
Diamond amebadilisha status quo ya game la muziki,wale walifikiri ndio wanastahili kuwa ma don wa game,hawaelewi imewezekana VP kijana wa Tandale ameweza kuwa music Mogul, tycoon wa bongofleva.
Billionaire wa music game!
Kijana ana pesa ndeefe,sasa wale waliokuwa wanaojiona wapo juu kstk industry kutokana na nafasi zao,ama watangazaji,au wamiriki wa vyombo vya habari,wamekuja kushituka kwamba mond haitaji kuwapigia magoti Ili kupata airtime,maana hata yeye anamiriki kituo Cha redio na tv,
Sasa hapo chuki inakuwa kubwa,wanaona wakimkaeibisha atazidi kuwa tajiri,lakini kumbe tayari ni tajiri,sasa hapo wanabski kwenye dilema.
Kingine,Mond dau lake kubwa,yeye ni brand,na Kuna bidhaa anazitangsza,sasa hawezi kwenda kwenye tukio linalodhaminiwa na bidhaa kinzani na ile anayoiwakilisha.

Mnayakuza haya mambo sana.

Hivi mond hawezi taarifiwa kisha akatoa udhuru!!!!hasa ukilinganisha na ukubwa alio nao???
Maana huwezi kurupuka tu ukamualika mtu kwenye even yako.
Nyinyi watu ndio mnafanya ushauri kwao mpaka wanahisi wanarogwa,wanafitiniwa na kufanyiwa figisu,kumbe ni kutengeneza mazingira ya kujipa umuhimu kwa mtu.
 
Kwamba hao wengine wote ndio wenye tatizo? Kwamba kwa upande wa diamond mwenyewe hana tatizo lolote? Hapa kuna namna mbili either hao watu wanamchukia diamond kwa mafanikio yake au diamond mwenyewe kajitenga kwa kufikiria apendwi kwa sababu ya mafanikio yake yaani hata akifanyiwa kosa la kibinadamu tu anajua vigisu hizi

Ilipofikia kwa sasa diamond hawezi kukosea tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Papasi,chawa na kunguni,halafu kuna mbu wa huku mtaani,hawawezi kabisa kuelewa kwamba huyu naye ni binaadam inawezekana kabisa akawa na tatizo pia,hata kuomba udhuru pia.
 
Hiyo ni nature ya watu weusi tulio wengi, hata wewe ukipata pesa utasemwa na kuchukiwa sana...sasa hivi hakuna anaejali sababu huna kitu
 
Wivu tu kwa sababu hawawezi mfikia.
Na hili ni tatizo la watanzania wengi;
Lakini uzuri kwa baraka za Mungu kawazidi akili na vipaji wengi
 
Back
Top Bottom