Kwanini Diamond Platnumz️ anatengwa na wadau kwenye ulimwengu wa muziki?

Thread ifungwe
 
Nas - Hate Me Now
 
Thread closed.
 
Yaani nimeclick 👍 hata kabla sijamaliza kuusoma uzi wako wote. Wivu na roho mbaya ndo sababu kuu
 

Perfect[emoji736]
 
Hata akiwa inveted na wasanii tofauti na wale wa wasafi haendi, juzi kawa invited kwa marioo na hajaenda. Sasa kama akialikwa haendi kwa nini waendelee kumpa mwaliko?
 
Barnaba anasema kabala hajatoa album alimfata kwanza diamond hadi jina la album diamond ndio alipendekeza, Jux ni washkaji na jux anasema urafiki ulianzia walipofanya ote ngoma (sugua).
Kwa kama msanii hasipo enda kwenye uzinduzi wa msanii mwenzake sio washkaji?

Kiba na Harmo hawajaenda kwenye uzinduzi wa Baranaba inamana Kiba na Harmo sio washkaji wa Barnaba. Okay Jux Kiba na Harmo hawa kwemda ina maana kiba na Harmo sio washkaji wa Jux. Why wengine iwe sawa ila akifanya Mondi ionekane tatizo.

Kuna ubaya msanii kupendekeza album ya msanii mwengine? Mana kuna wengine wanatungiwa mpaka nyimbo kupendekeza jina ya album just ni love tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…