Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe, kwamba asili ya msalaba ni Upagani sio Sababu ya ninyi kutoutumia Makanisani mwenu.Niulize Kwanini?.Hata km hujanijibu najitosa kukutoa matongotongo kuwa Msalaba hapo Mwanzo ilikuwa kitu Cha ovyo,adhabu ya aibu,lkn Kristo akaubadili Msalaba kutoka kwenye Upagani, adhabu ya aibu na kuwa Ishara ya Ushindi na nguvu ya Kristo.Sasa huwezi kuendelea kuuchukia kwasababu kwa kufanya hivyo ni sawa na kusema kwamba hamtambui mabadiliko yoyote yaliyoletwa na Yesu Kristo,Yesu alifanya mapinduzi Matharani aliwabadili wadhambi kuwa Watakatifu, mfano alimbadili Mathayo,Lawi kutoka kwenye Mtoza ushuru hadi Thenashara wake.Kumbe Kristo alibadili vitu dhaifu kuwa vyenye nguvu, hivyo hata Msalaba kwa Mkristo anayejielewa ni ishara ya nguvu na wokovu.Kuhusu Diamond kuvaa msalaba,ni kwamba Diamond anavaa msalaba lkn msalaba wa Diamond si msalaba ule wa Kristo, maana misalaba ipo mingi hata Imani baadhi za kishirikina hutumia misalaba (Sina maana kuwa Msalaba wa Diamond ni WA kishirikina,la hasha!!,huko Mimi siko).Unaelewa msalaba ni nini?
Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"
Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?
Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?
Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
Huyu Tale akisemeshwa hapo na Snopy sijui atajibu nini😀😀Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
View attachment 1851816
Umenena vyema sanaAcha ujinga wewe, kwamba asili ya msalaba ni Upagani sio Sababu ya ninyi kutoutumia Makanisani mwenu.Niulize Kwanini?.Hata km hujanijibu najitosa kukutoa matongotongo kuwa Msalaba hapo Mwanzo ilikuwa kitu Cha ovyo,adhabu ya aibu,lkn Kristo akaubadili Msalaba kutoka kwenye Upagani, adhabu ya aibu na kuwa Ishara ya Ushindi na nguvu ya Kristo.Sasa huwezi kuendelea kuuchukia kwasababu kwa kufanya hivyo ni sawa na kusema kwamba hamtambui mabadiliko yoyote yaliyoletwa na Yesu Kristo,Yesu alifanya mapinduzi Matharani aliwabadili wadhambi kuwa Watakatifu, mfano alimbadili Mathayo,Lawi kutoka kwenye Mtoza ushuru hadi Thenashara wake.Kumbe Kristo alibadili vitu dhaifu kuwa vyenye nguvu, hivyo hata Msalaba kwa Mkristo anayejielewa ni ishara ya nguvu na wokovu.Kuhusu Diamond kuvaa msalaba,ni kwamba Diamond anavaa msalaba lkn msalaba wa Diamond si msalaba ule wa Kristo, maana misalaba ipo mingi hata Imani baadhi za kishirikina hutumia misalaba (Sina maana kuwa Msalaba wa Diamond ni WA kishirikina,la hasha!!,huko Mimi siko).
Tafuta comment yangu namba #31 usome nilichoandika kisha njoo nikufundishe zaidi.Acha ujinga wewe, kwamba asili ya msalaba ni Upagani sio Sababu ya ninyi kutoutumia Makanisani mwenu.Niulize Kwanini?.Hata km hujanijibu najitosa kukutoa matongotongo kuwa Msalaba hapo Mwanzo ilikuwa kitu Cha ovyo,adhabu ya aibu,lkn Kristo akaubadili Msalaba kutoka kwenye Upagani, adhabu ya aibu na kuwa Ishara ya Ushindi na nguvu ya Kristo.Sasa huwezi kuendelea kuuchukia kwasababu kwa kufanya hivyo ni sawa na kusema kwamba hamtambui mabadiliko yoyote yaliyoletwa na Yesu Kristo,Yesu alifanya mapinduzi Matharani aliwabadili wadhambi kuwa Watakatifu, mfano alimbadili Mathayo,Lawi kutoka kwenye Mtoza ushuru hadi Thenashara wake.Kumbe Kristo alibadili vitu dhaifu kuwa vyenye nguvu, hivyo hata Msalaba kwa Mkristo anayejielewa ni ishara ya nguvu na wokovu.Kuhusu Diamond kuvaa msalaba,ni kwamba Diamond anavaa msalaba lkn msalaba wa Diamond si msalaba ule wa Kristo, maana misalaba ipo mingi hata Imani baadhi za kishirikina hutumia misalaba (Sina maana kuwa Msalaba wa Diamond ni WA kishirikina,la hasha!!,huko Mimi siko).
Acha ujinga wewe, kwamba asili ya msalaba ni Upagani sio Sababu ya ninyi kutoutumia Makanisani mwenu.Niulize Kwanini?.Hata km hujanijibu najitosa kukutoa matongotongo kuwa Msalaba hapo Mwanzo ilikuwa kitu Cha ovyo,adhabu ya aibu,lkn Kristo akaubadili Msalaba kutoka kwenye Upagani, adhabu ya aibu na kuwa Ishara ya Ushindi na nguvu ya Kristo.Sasa huwezi kuendelea kuuchukia kwasababu kwa kufanya hivyo ni sawa na kusema kwamba hamtambui mabadiliko yoyote yaliyoletwa na Yesu Kristo,Yesu alifanya mapinduzi Matharani aliwabadili wadhambi kuwa Watakatifu, mfano alimbadili Mathayo,Lawi kutoka kwenye Mtoza ushuru hadi Thenashara wake.Kumbe Kristo alibadili vitu dhaifu kuwa vyenye nguvu, hivyo hata Msalaba kwa Mkristo anayejielewa ni ishara ya nguvu na wokovu.Kuhusu Diamond kuvaa msalaba,ni kwamba Diamond anavaa msalaba lkn msalaba wa Diamond si msalaba ule wa Kristo, maana misalaba ipo mingi hata Imani baadhi za kishirikina hutumia misalaba (Sina maana kuwa Msalaba wa Diamond ni WA kishirikina,la hasha!!,huko Mimi siko).
Acha kuongea pumba wewe, ukristo na msalaba ni sambamba kaa kimya utachekwaUnaelewa msalaba ni nini?
Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"
Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?
Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?
Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
Hakuna kitu unajua wewe. Hebu soma hapa :Acha kuongea pumba wewe, ukristo na msalaba ni sambamba kaa kimya utachekwa
Hivi Msalaba maana yake Nini??.Nahitaji tafsiri ya kiswahili Cha kawaida tu.Maana unaweza kujitia kijua mambo Kumbe huna lolote.Tatizo ni tafsiri iliyofanywa. Vitabu vyote vya Agano Jipya viliandikwa kwa lugha ya Kigiriki isipokuwa tu ule Waraka kwa Waebrania.
Sasa waliotafsiri mwanzoni ndiyo walikosea au walifanya makusudi hiyo haijulikani.
Iko hivi :
Katika zile original manuscript za hivyo vitabu vya Agano Jipya hakuna neno "msalaba" kwa lugha ya Kigiriki isipokuwa lipo neno "nguzo". Waliotafsiri badala ya kuandika nguzo, wao wakaandika "msalaba".
Neno linalopatikana kwenye hizo manuscript ni "Stauros". Neno hili ni la Kigiriki likimaanisha "pole" or "stake" kwa Kiingereza au "nguzo" kwa Kiswahili.
Hata neno "kusulubishwa" lilitafsiriwa kimakosa pia. Kusulubiwa Kigiriki iliandikwa "sustauroo" na maana yake halisi ni "to impale" kwa Kiingereza au "kutundika mtini" kwa Kiswahili.
Hivyo kwa tafsiri sahihi na ya UKWELI, ni kwamba BWANA YESU alitundikwa mtini na siyo alisulubishwa msalabani.
Kuna udanganyifu mkubwa sana uliofanywa kwenye Biblia na wahuni wachache kwa lengo la kuwapotosha Wanadamu wasiojishughulisha kuitafuta KWELI ya MUNGU. Udanganyifu huo ni mbinu ya Shetani kuwafanya wanadamu waabudu "msalaba" ambao ni alama yake Ibilisi.
Wengi wenu mtanibishia sababu hamijui KWELI na hii KWELI imefichwa hata mkiambiwa hamwezi kuamini. Lakini wale wachache wanoijiua KWELI wanaelewa ninachokisema.
Kitendo cha YESU kutundikwa "mtini" kilikuwa kinaakisi kile kitendo cha Musa kumtundika "mtini" yule nyoka wa shaba. Musa hakutumia "msalaba" kumtundika yule nyoka bali alitumia "nguzo ya mti". Hebu soma hapa:
8 The Lord said to Moses, “Make a snake and put it up on a pole;(A) anyone who is bitten can look at it and live.” 9 So Moses made a bronze snake(B) and put it up on a pole. Then when anyone was bitten by a snake and looked at the bronze snake, they lived.(C)
Kwa Kiswahili:
"Bwana akamwambia Musa, jifanyie nyoka ya shaba ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa aitazamapo ataishi. Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba akaishi". Hesabu 21:8-9
Sasa hapo juu utaona neno lililotumika kwa Kiingereza ni "pole" (mti au nguzo) na siyo "cross" (msalaba).
Soma Matendo ya Mitume 5:30..
"MUNGU wa baba zetu alimfufua YESU ambaye ninyi mlimwua mkimtundika katika mti".
Hapa tunaona Mtume Petro anakiri wazi kabisa kuwa YESU alitundikwa kwenye "mti". Tena ukiendelea kusoma mstari wa 32, (Matendo 5:32) utaona Petro anasema yeye na Mitume wenzake ni mashahidi wa yaliyotokea. Yaani ni mashahidi kwamba walimwona YESU akitundikwa kwenye "mti" na siyo "msalabani".
Msalaba asili yake ni "upagani". Misalaba ilianza kutumiwa na wapagani wa kale tokea enzi za Tamuz kabla hata ya Israeli kuwa taifa.
MUNGU hafungamani na kitu chochote kile cha "upagani" wala MUNGU hawezi kamwe kumuunganisha Mwanae na mambo ya kipagani. Soma 2Wakorintho 6:15-16.
Hivi Msalaba maana yake Nini??.Je, unafahamu asili ya adhabu hiyo?. Ikiwa unasema waliotafsiri Biblia ni Wahuni utawezaje kuwaamini waandishi wake?,Ikiwa hautawaamini waandishi utauwezaje kuuamini ujumbe uliomo?,Ikiwa hutauamini ujumbe uliomo utawezaje kumuamini Mungu?.Tatizo ni tafsiri iliyofanywa. Vitabu vyote vya Agano Jipya viliandikwa kwa lugha ya Kigiriki isipokuwa tu ule Waraka kwa Waebrania.
Sasa waliotafsiri mwanzoni ndiyo walikosea au walifanya makusudi hiyo haijulikani.
Iko hivi :
Katika zile original manuscript za hivyo vitabu vya Agano Jipya hakuna neno "msalaba" kwa lugha ya Kigiriki isipokuwa lipo neno "nguzo". Waliotafsiri badala ya kuandika nguzo, wao wakaandika "msalaba".
Neno linalopatikana kwenye hizo manuscript ni "Stauros". Neno hili ni la Kigiriki likimaanisha "pole" or "stake" kwa Kiingereza au "nguzo" kwa Kiswahili.
Hata neno "kusulubishwa" lilitafsiriwa kimakosa pia. Kusulubiwa Kigiriki iliandikwa "sustauroo" na maana yake halisi ni "to impale" kwa Kiingereza au "kutundika mtini" kwa Kiswahili.
Hivyo kwa tafsiri sahihi na ya UKWELI, ni kwamba BWANA YESU alitundikwa mtini na siyo alisulubishwa msalabani.
Kuna udanganyifu mkubwa sana uliofanywa kwenye Biblia na wahuni wachache kwa lengo la kuwapotosha Wanadamu wasiojishughulisha kuitafuta KWELI ya MUNGU. Udanganyifu huo ni mbinu ya Shetani kuwafanya wanadamu waabudu "msalaba" ambao ni alama yake Ibilisi.
Wengi wenu mtanibishia sababu hamijui KWELI na hii KWELI imefichwa hata mkiambiwa hamwezi kuamini. Lakini wale wachache wanoijiua KWELI wanaelewa ninachokisema.
Kitendo cha YESU kutundikwa "mtini" kilikuwa kinaakisi kile kitendo cha Musa kumtundika "mtini" yule nyoka wa shaba. Musa hakutumia "msalaba" kumtundika yule nyoka bali alitumia "nguzo ya mti". Hebu soma hapa:
8 The Lord said to Moses, “Make a snake and put it up on a pole;(A) anyone who is bitten can look at it and live.” 9 So Moses made a bronze snake(B) and put it up on a pole. Then when anyone was bitten by a snake and looked at the bronze snake, they lived.(C)
Kwa Kiswahili:
"Bwana akamwambia Musa, jifanyie nyoka ya shaba ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa aitazamapo ataishi. Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba akaishi". Hesabu 21:8-9
Sasa hapo juu utaona neno lililotumika kwa Kiingereza ni "pole" (mti au nguzo) na siyo "cross" (msalaba).
Soma Matendo ya Mitume 5:30..
"MUNGU wa baba zetu alimfufua YESU ambaye ninyi mlimwua mkimtundika katika mti".
Hapa tunaona Mtume Petro anakiri wazi kabisa kuwa YESU alitundikwa kwenye "mti". Tena ukiendelea kusoma mstari wa 32, (Matendo 5:32) utaona Petro anasema yeye na Mitume wenzake ni mashahidi wa yaliyotokea. Yaani ni mashahidi kwamba walimwona YESU akitundikwa kwenye "mti" na siyo "msalabani".
Msalaba asili yake ni "upagani". Misalaba ilianza kutumiwa na wapagani wa kale tokea enzi za Tamuz kabla hata ya Israeli kuwa taifa.
MUNGU hafungamani na kitu chochote kile cha "upagani" wala MUNGU hawezi kamwe kumuunganisha Mwanae na mambo ya kipagani. Soma 2Wakorintho 6:15-16.
Mbona alislim muda mkuuMasheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
View attachment 1851816
Na vipi kuhusu wimbo was haleluya aliowahi kuimbaKuna wimbo niliwahi kuusikia,Una verse inasema hivi, na hapa nanukuu "Lazima ujue kutofautisha, kati ya X na kuzidisha,
kuna Msalaba na jumlisha"
Mwisho wa kunukuu
Stay tuned
Ulimuona?BWANA YESU hakubeba msalaba, alibeba "nguzo" . Soma comment yangu namba #31 nimefafanua kwa undani.
Nimekuwekea vielelezo vyote hapo na maneno halisi ya Kigiriki yaliyotafsiriwa kama "msalaba" wakati maana yake siyo msalaba.Hivi Msalaba maana yake Nini??.Je, unafahamu asili ya adhabu hiyo?. Ikiwa unasema waliotafsiri Biblia ni Wahuni utawezaje kuwaamini waandishi wake?,Ikiwa hautawaamini waandishi utauwezaje kuuamini ujumbe uliomo?,Ikiwa hutauamini ujumbe uliomo utawezaje kumuamini Mungu?.
Nimekwambia soma comment namba #31 utaona nimeelezea kwa facts siyo mihemko.Ulimuona?