Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametoa mchango mkubwa sana katika ukuzaji wa lugha adhimu ya kiswahili barani Afrika na dunia kwa ujumla. Vyuo vya Tanzania mulikeni hili hasa hasa chuo kikuu cha Dar es salaam idara ya kiswahili mchango wa huyu ndugu yetu.
Kweli mtoa mada we ni lofa tena akili zisizo na akili.mtu kaishia darasa last saba afu huo mziki wa kihuni anaimba baada ya kuvuta bangi atunukiwe PHD? Ignorance is bliss
Ametoa mchango mkubwa sana katika ukuzaji wa lugha adhimu ya kiswahili barani Afrika na dunia kwa ujumla. Vyuo vya Tanzania mulikeni hili hasa hasa chuo kikuu cha Dar es salaam idara ya kiswahili mchango wa huyu ndugu yetu.
Kweli DIAMOND ni jicho la TZ sasa hebu fikiria huyu mganga anamiaka kibao anafanya hii kazi ila alipofanyiwa promo na DIAMOND tu ameshakuwa gumzo la nchi.Kashamponza mganga wake. ...aliyekimbia Dola
Wewe zisiofyatuka unadhani kama amepewa hadhi ya kuwa NEMBO ya taifa a.k.a ICON kwanini asipewe na hii wakati walishampa hata tuzo ya heshima na chuo kikuu cha Dar (udsm)Labda hao wahusika ziwe zimefyatu kama zako watampa.
we ulie ishia secondary umefanya nn na unamiliki nn hujulikani hata mtaani kwenu acha wivu
We ndio lofa kweli, hivi muziki wanaoimba ungekuwa si wa heshima kama unavyodai Wagombea urais wangekuwa wanawatumia kwenye kampeni??? Diamond alitumika na lowassa na JPM wote walielewa mchango wake wakaamua kusafiria nyota yake
Afu inaonekana ni mgeni kabisa kwenye suala la utoaji wa Phd ya heshima, hata kama hujasoma vidudu utapewa kutokana na mchango wako kwenye jamii
Unadharau wasanii, unafikiri kwanini kuna wizara inayohusu wasanii? je tokea tumepata uhuru Tanzania imepata heshima kwa kiwango kipi, na nani amehusika?