Kwanini Diary/Notebook Ni Muhimu Katika Kuimarisha Mapenzi Yenu!

Kwanini Diary/Notebook Ni Muhimu Katika Kuimarisha Mapenzi Yenu!

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
Nakuja na Hii idea like Never Before!

Mwenyezi Mungu alituumba binadamu kama viumbe vyenye Nafsi ya Upendo
Tunaumiza na Kuumizwa lakini pamoja na yote hayo bado ile nafsi ya aliyotupa Mungu Baba bado ipo!

Asikudanganye mtu kutaka kuiangamiza au kuiondoa nafsi ya upendo uliyonayo, Maana ndo utu wako na Ndio Heshima Yako!

Twende Kwenye Mada!

Unampenda sana mtu flani? Kiasi kwamba hutaki ule upendo ulionao hutaki uje upungue?

Hili ni suluhisho Muhimu Kwako!

Tafuta Diary/Notebook Andika Hisia zako kuhusu unayempenda, andika Mipango yako Juu yake
Elezea Jinsi unavyompenda na Pia weka Ka kiapo kwamba utajicommit katika huo Upendo wako kwake!

Andika labda hutocheat na mipango mingine uliyonayo katika kichwa chako, Halfu ibariki kwa Jina la Mungu

Baada ya Hapo jitengenezee tabia ya kupenda kusoma Diary/Notebook, Hakika utaona Mabadiliko!

Alfred, The Wise Man
 
Nakumbuka nilikuwa nampigia simu kwa siku mara 30-40 lakini sasa nampigia Mara 3 tu, sababu nikirudi nyumbani namkuta yupo kajaa, yupo kwake na watoto wake, nakaribishwa na tabasamu lain mno, mwenye akili ataelewa.......kichwa inawaza zaidi pesa maana.nimeoa Manka
 
Hahahaa Ndio Mapenzi kaKa manka anahimiza utafutaji wa Helaa!
 
na siku mpenzi akichepuka unaandika kabisa.
 
Back
Top Bottom