Kwanini Dkt. Emmanuel Nchimbi alijiuzulu Uwaziri wa Mambo ya ndani Desemba 2013?

Kwanini Dkt. Emmanuel Nchimbi alijiuzulu Uwaziri wa Mambo ya ndani Desemba 2013?

Mhe. Dr. Emanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
vigezo gani wametumia hawa CCM kumuweka huyu jamaa awe mgombea mwenza? Ila kwa uelewa wangu, hawa ccm huwateua wagombea weza wale sio machachari sana,wanaopokea maelekezo ya rais ya "ndiyo mzee" fuatilia makamu wote wa rais ktk nchi hii hakuna machachari hata mmoja. Waziri mkuu ndiye anatakiwa kuwa machachari,kwani ndy mtendaji mkuu wa serikali. Nashauri hiki cheo cha vice president kifutwe.
 
Back
Top Bottom