Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

Yesu anatibu roho na automatically mwili pia unapona.

Barakoa haitibu chochote ni ushuhuda wa uwoga mbele za Mungu..... Lakini ukiwa Bar vaa barakoa maana huko ni makao ya shetani!
Kwanza mbele za Mungu ni wapi?? Au unadhani kila mahali ni Mbele za Mungu? Ili kuwe Mbele za Mungu kuna Kanuni zake.

Unadhani Yesu alivopindua zile Meza pale Hekaluni Ibada zilikuwa haziendelei? Na wao pia pamoja na Uchafu wao wote uliokuwa unaendelea bado walijiona kwamba wapo Mbele za Mungu!!

Ndio maana Yesu alijua kwamba si kila anayejiona yupo mbele za Mungu ni kweli kwamba yupo Mbele za Mungu na akasema "si kila anaiitae Bwana, Bwana, Ataingia kwenye ufalme wa Mungu!".

Yuda naye si alikuwa "mbele" za Mungu lakini hakuwa na Mungu.
 
Ni kama unajichanganya.

Mbele za Mungu iko ndani yako wewe mwenyewe

Ila kwa wale wenye imani ya punje ya haradani wanasaidiwa na uwepo wa kusanyiko la wacha Mungu kujiona/ hisi wapo mbele zake Mungu.
 
Ni kama unajichanganya.

Mbele za Mungu iko ndani yako wewe mwenyewe

Ila kwa wale wenye imani ya punje ya haradani wanasaidiwa na uwepo wa kusanyiko la wacha Mungu kujiona/ hisi wapo mbele zake Mungu.
Biblia haina Karantini? Kama Mbele za Mungu kumo ndani ya Muumini asipokwenda Kanisani atakuwa ameondoka Mbele za Mungu? Mara ngapi watu wa kanisani wametenda matendo yanayoonesha kwamba hawapo Mbele za Mungu?

Ulazima wa watu kwenda Kanisani unatokana na nini??
 
Watu wa Kanisani ni nani?

Kanisa ni ufalme na huyo mfalme ndio Kristo.

Yesu anakaa ndani yetu na sisi ndani yake, na hilo ndio Kanisa.

Kwa mkristo haikulazimu kwenda kwenye jengo ndio uwe mbele zake Mungu.

Mussa alipotaka kwenda mbele zake Mungu alipanda mlimani kupata faragha!
 
Unachofikiri sio kila mtu anafikiri. Mbowe kavaa viatu, vyeusi! Maana yake nini?
 
Basi hakukua na haja ya Yesu kusisitiza kukusanyika kanisani.
Nina mashaka na uumini wako kama hujui umuhimu wa kanisa!
 
We ona watu wapo kwenye hvyo viti ukazani wapowapo tu. Hukumbuki ule msemo wa ukitaka kula na kipofu?
 
Ndio madikteta wafanyavyo hivyo lazima ukubaliane nao la sivyo unatumbuliwa.
 
Kalemani na wengine kama yeye wanaishi kwa kujipendekeza kwa John. Hata wakiambiwa walambe viatu vya John, wapo tayari muda wowote.
Uoga mbaya sana

Kama ilivyo kwa chadema wote mnamsujudu mbowe, ukienda kinyume tu OUT,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…