Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

@johnthebaptist,nakushauri uendelee na propaganda za CCM,haya mambo ya imani,na hasahasa jina lipitalo majina yote,YESU KRISTO,achana nayo ndugu.
Kusoma pale kwa Mzee Magoti - Kivukoni hakukufanyi ukawa mtaalamu wa Maandiko Matakatifu.
Stay in your lane pal.
Yesu anatibu roho na automatically mwili pia unapona.

Barakoa haitibu chochote ni ushuhuda wa uwoga mbele za Mungu..... Lakini ukiwa Bar vaa barakoa maana huko ni makao ya shetani!
 
Kupitia vipindi vya TV Kalemani ziara zake zote nchi mzima huko kwny mambo yake ya Tanesco/Umeme/Rea hua anavaa barakoa mwanzo mwisho.
 
Hahahaaaa........ hahahaaaa....... Usiogope.

Mungu kwanza hizo siasa ni mambo ya kupita tu, kuna aliyejua leo hii Chadema itakuwa inapumulia mashine?

Lakini Mungu ni yule yule Juzi, Jana, Leo, Kesho na hata milele!
 
Hata majaliwa akikutana na jiwe lazima avue hayo matambala, kwanza jiwe si muumini hayo madude
 
Mimi mwenyewe sielewi kilichotokea had wote wakaenda pasipokuvaa mask, nimejiuliza mno aiseee huenda kuna usaniii unalazimishwa kwa hisia kufuta ugonjwa huuu kitu ambacho ni kibaya Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachofikiri sio kila mtu anafikiri. Mbowe kavaa viatu, vyeusi! Maana yake nini?
Unasumbuliwa na rangi? Jana MO ametoa barakoa nyekundu, zimegawiwa sehemu kubwa ya Kariakoo. Wengine wana za vitenge,rangirangi, kombati..........
 
Kupitia vipindi vya TV Kalemani ziara zake zote nchi mzima huko kwny mambo yake ya Tanesco/Umeme/Rea hua anavaa barakoa mwanzo mwisho.
Leo tulikuwa wote hapo Geita na alikuwa na Barakoa ile kwenda kuungana na namba moja akavua
 
Unasumbuliwa na rangi? Jana MO ametoa barakoa nyekundu, zimegawiwa sehemu kubwa ya Kariakoo. Wengine wana za vitenge,rangirangi, kombati..........
...
Ishu ni frame of reference kwa watu iko tofauti, ndio maana mie nimeweka viatu vyeusi hapo wewe umekuja na tafsiri yako ila sio niliyokusudia mimi.
 
Hao wote waliokua kanisani watu wake Magu alafu wamepimwa joto kabla ya kuingia hapo yani ni movies anatengeneza huyu jiwe kuzuga watu
 
“To believe in something, and not to live it, is dishonest.” ― Mahatma Gandhi
 
Haya mambo ya kupindisha ukweli ndiyo residentura amesema unayaweza na siyo mambo ya KRISTO YESU.
Kama umemsikiliza Silinde jana utaelewa kuwa Chadema hali ni tete.

Kama wabunge 19 wanatarajiwa kuhama ukijumlisha na hao wanne na hapo Mnyika hajaingizwa kwenye hesabu......kuna Chadema tena hapo?
 
Kanisani hakuna korona

Jr[emoji769]
 
Kama wabunge 19 wanatarajiwa kuhama ukijumlisha na hao wanne na hapo Mnyika hajaingizwa kwenye hesabu......kuna Chadema tena hapo?
Kwa ivo kwako wewe CHADEMA ni wabunge na sio Falsafa, Itikadi na mlengo wanaosimamia. Kwa ivo wabunge wote wakitoka tukibaki sisi tusio wabunge inakuwa siyo CHADEMA??

Silinde siyo rejea sahihi kwa wakati huu.
 
johnthebaptist hawa hapa ni wanachadema. Hao 19 unaosema watahama CHADEMA wamo humu kwenye kundi hili la wanachadema?? Picha hii imepigwa Julai 14 2019.
 
Kwa ivo kwako wewe CHADEMA ni wabunge na sio Falsafa, Itikadi na mlengo wanaosimamia. Kwa ivo wabunge wote wakitoka tukibaki sisi tusio wabunge inakuwa siyo CHADEMA??

Silinde siyo rejea sahihi kwa wakati huu.
Chadema haina falsafa vijana wengi wako pale kutafuta riziki ndio maana 2015 waliwakodi mzee Lowassa wa CCM na Duni Haji wa Cuf

Kwa sasa ngome ya Chadema ni Mbowe " binafsi " kwa sababu yeye ndio anakimiliki chama baada ya mzee Ndesamburo kutangulia mbele ya haki.

Nakuhakikishia kuanzia 2021 Chadema itakuwa kama Tadea ya Shibuda, TLP ya Mrema au UDP ya Momose Cheyo ambayo Mbowe ataitumia kupigia deal zake binafsi na doners!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…