Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

Kwa sasa ngome ya Chadema ni Mbowe " binafsi " kwa sababu yeye ndio anakimiliki chama baada ya mzee Ndesamburo kutangulia mbele ya haki.
Kwa ivo huko kote Tanzania nzima CHADEMA inakozuiliwa kufanya kazi zake za kisiasa Mbowe huwa anakuwepo?
 
Bwashee muda utaongea!
Dua la Kuku!!

Sisi CHADEMA tunajua kwamba CCM ndiyo imechoka na imejitayarisha kutumia dola ili kuiangamiza CHADEMA. Lakini eti kusema CCM ina ubavu wa kushindana na CHADEMA yenyewe bila dola, hiyo ni ndoto ya Mchana. Kama CCM ni Imara unadhani ingekuwa inavuruga chaguzi mbali mbali??
 
Huwezi kuitenganisha CCM na Dola......na hata ukiangalia usajili wa vyama vya siasa wa 1992 CCM ilisajiliwa kwa utaratibu tofauti na vyama vingine!
 
Huwezi kuitenganisha CCM na Dola......na hata ukiangalia usajili wa vyama vya siasa wa 1992 CCM ilisajiliwa kwa utaratibu tofauti na vyama vingine!
Tatizo ni ujinga tu wa wakati ule wa baadhi ya watu kusema bila CCM hakuna Tanzania. Mahakama pia imekuwa ni upofu kwenye hoja hiyo!!
 
Ile ilikuwa michezo ya kuigiza ili kuwaaminisha watu kuwa Corona siyo tishio tena! Huu mzaha gharama zake huwa ni irreversible...
 
Anaamini nchi yetu ina wajinga wengi. Hapo alitaka waaminisha watu wasivae
Inaonekana kulikuwa na maagizo hapo kanisani watu wasivae..
Haiwezekani asiwepo mtu hata mmoja alievaa..

Kwahiyo hata hotuba yake ilikuwa well scripted..
Kaongea kama bahati mbaya but ilikuwa planned

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TISS ukiingia wanakusachi tu kama unabarakoa. Wqnakupaka sanitizer unaingia
 
yale ni maisha yake analinda uhai wake wewe inakuhusu nini? kama una kazi kalale.
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…