Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa ivo huko kote Tanzania nzima CHADEMA inakozuiliwa kufanya kazi zake za kisiasa Mbowe huwa anakuwepo?Kwa sasa ngome ya Chadema ni Mbowe " binafsi " kwa sababu yeye ndio anakimiliki chama baada ya mzee Ndesamburo kutangulia mbele ya haki.