chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Dkt. Slaa ni mwana CCM, aliwasambaratisha chadema kwa kuwakimbia wakati UKAWA wakikaribia sana kuikamata nchi. Slaa akapelekwa hotelini Rwanda akapewa mabinti wa kihima, baadae ubalozi. Leo Dk Slaa ndio kampeninmeneja wa Lissu na Mtunza fedha.
Anashinda mitandaoni na genge lake ambalo linalipwa kwa ajili ya kuandaa mada. Kuna siku nilimsikia wajukuu zake wanamwambia babu piga mswaki unywe chai, bahati Mbaya alikuwa hajatoka online, sauti ikasikika
Pembeni kuna Msigwa, na yeye ni mtu wa ndani wa kampeni za Lissu, akiwa anasomba fedha kutoka sehemu mbali mbali anampa Lissukwa nia ya kuibomoa chadema.
Mtu anayezungukwa na watu wa aina hii ndio akabidhiwe chama?